Recent content by Igihugugu

  1. I

    Waraka: Shule 11 za Serikali Hazitahusika na Utoaji wa Elimu Bure

    mvinyo wa zamani katika glass mpya. Tanzania tunakataza michango shuleni huku tunatengeneza mianya ya kukusanya pesa kwa watumishi wasio waaminifu
  2. I

    Tanzania inaongoza kuwa na Maziwa makubwa duniani, Victoria, Tanganyika na Nyasa

    ziwa Tanganyika ni la pili kwa kua na kina kirefu duniani na la kwanza Africa. Ziwa baikal ndo linaongoza lipo Russia. But lina utajiri wa samaki wa mapambo (ornamental fish)
  3. I

    Silinde akanusha yeye na Wenje kufanya maamuzi magumu muda ukifika

    Bora wa jambe jambe kuliko kujinyea kama wewe. Unataka hoja gani wakati habari ni ya chumbani? au wewe ni mwandani wa mmojawapo?
  4. I

    Zitto: Wabunge zaidi 50 wa vyama mbalimbali kujiunga na ACT

    Anatafuta kiki tu, wap ccj kama amejilipua pole yake na aangalie hata kgm mjini anapotegemea anaweza kosa. Viongozi wa vyama vya siasa msije danganyika mkachukua maamuzi ya kukurupuka mwacheni huyu anayeombwa kugombea kla sehemu kama el aendelee kutapatapa.
  5. I

    Kozi nzuri kwa kuajiriwa na kujiajiri

    Sokoine University Of Agriculture, ndio kuna kozi nyingi za ujasaliamali hasa kwenye kilimo, mfano aquaculture, animal science, food science and technology, agronomy, horticulture, agribusiness hizi ni baadhi ya kozi znazoendesha maisha kwa kujiajiri au kuajiliwa nafasi nje nje
  6. I

    Zitto, una maana gani katika kutaja mikoa yenye maendeleo zaidi Tanzania?

    Kwetu ni Kigoma, nimewahi fika Moshi vijijini nilishangaa kweili nyumba za kisasa mpaka vjijini zipo. Tofauti na kwetu, mtu anamafanikio mjini, kjijini kwao hata nyumba ya kuzugia hana, likizo zote anamalizia mjini kijijini hakanyagi.
  7. I

    Treni ya kisasa (Delux), kwenda Bara yenye mabehewa 22 imeanza safari kwenda Kigoma

    Miaka miwili ni mingi, wahudumu ndio chanzo, wanaruhusu kupakia mizogo ya kibiadhara njiani hasa ikifika kilosa.
  8. I

    Unaijua mikoa 7 inayoongoza kwa maisha duni Tanzania?

    Kwa vigezo walivyotumia ni sahihi Kigoma kuwa miongoni mwa mikoa maskini, hatuna taasisi kubwa kubwa za elimu, miundo mbinu mibovu, umeme wa uhakika kuwezesha viwanda kufanya kazi hakuna, hatuna maji safi na salama pia barabara bado ni vumbi toka wilaya moja kwenda nyingine isipokua uvinza tu.
  9. I

    Professions 10 Bora zenye hadhi na heshima Duniani, Je wewe upo namba ngapi?

    Umeona eeh! Hii copy and paste itatumaliza. Mi ni fisherman but hapa bongo tunadharauliwa kama nin.
  10. I

    SIRI IMEVUJA: January Makamba ndiye kinara wa kutaka JamiiForums ifungwe

    Tumehamia mb 200 kwa tsh 500. Bora nkose dk lakini mb nipate. Ndio maana inawauma so wanataka vijana tusijuzane mambo yanayoenelea nchi hii.
  11. I

    Michango Ya Ujenzi Wa Hospitali Ya Rufaa Maweni Kigoma Ni Halali Kisheria?

    Mbunge yupo tena anajiita Obama. Pia sina uhakika kama wao wilaya ya buhigwe wana hata hospital ya wilaya, maana hii ni wilaya mpya.
  12. I

    CHADEMA yafutika Kigoma

    Jina sahihi ni wao wao b, nilikua kgm town mwaka jana act walianza mapema kumnadi mpendwa wao mwenye uchu na madaraka eti atagombea jimbo hilo la kgm mjini, kule kaskazini alikosa mvuto.
  13. I

    Zitto: Ninaunga mkono UKAWA!

    well said, sioni umuhimu wa yeye kujoin ukawa. Waendelee na muungano wao vyama visivyo na wawakilishi bungeni, watuachie ukawa yetu
  14. I

    Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

    Sijui ni maneno ya mtaani tu au kuna ka ukweli? Eti ni kweli mjamaa mwami Zitto Zuberi Kabwe pHD ujerumani amesoma kama mwanafunzi maalumu (EXECUTIVE STUDENT)?
  15. I

    GE2015 Baada ya Masheikh wa Bagamoyo, Wachungaji wamzamia Edward Lowassa kumuomba kugombea Urais

    watakua wale wachungaji wa kisasa aka manabii au wachungaji jina kama mashehe wa jana. Taasisi haziwezi fanya ujinga ka huu
Back
Top Bottom