Recent content by Igayo jr

  1. Igayo jr

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Luhaga Mpina kufungua Kesi zote ndani ya masaa 24

    mnanyooshwaa
  2. Igayo jr

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama vya Siasa unasubiri nini kuifutia usajili CHADEMA wakati inaendelea kukiuka sheria na kuchochea chuki na ubaguzi?

    hovyo kabisa, hoja za kipuuzi unatoa. kwamba raslimali na utajiri wa nchi utapanywe wachache ndio wanafaidi halafu tukae kimya kwa mwamvuli wa sheria za hovyo zilizopitwa na wakati
  3. Igayo jr

    JamiiForums Tanzania Nani anasimama nyuma ya Mwekezaji wa Soko la CCM Katoro Geita?

    Tusogezee picha tuone hayo maboresho kwanxa
  4. Igayo jr

    JamiiForums Tanzania Afrika tutapata maendeleo endapo tutawapa wazungu nafasi ya Urais na Mawaziri

    Mi nafikiri mchakato wa upigaji kura maamuzi ya mwisho kura ya watu wote isiamue ushindi wa kiongozi. kwa sababu hawa wanasiasa wanatumia jamii kubwa ambayo haijaelimika kuingia madarakani kwa njia za rushwa na ulaghai.
  5. Igayo jr

    JamiiForums Tanzania Hii ndio mikoa ambayo Rais Samia amewekeza nguvu kubwa kuiletea maendeleo

    Huu ni uongo, unaangalia historia wa wabunge bila shaka. mkoa kama Geita chaguzi mbili kuu za zilizopita hakuna mbunge wa CCM ameshinda kwa haki. niamini! hata Mwanza na Kagera ni ubabe ulitumika
  6. Igayo jr

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Lake Zone imepotezwa na Uteuzi wa Dkt. Doto Biteko

    huku ndiko kuchanganyikiwa sasa! hicho cheo chake kinatusaidia nini sisi Wasukuma.
  7. Igayo jr

    JamiiForums Tanzania Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

    Umeongea pumba kabisa, fikiria halafu urudi tena
  8. Igayo jr

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutunukiwa PhD na kuwa Dkt. mnaonaje jina la "Mama" sasa tukaachana nalo ila Nyumbani wanaweza kuendelea kumuita Mama?

    Tatizo lake huwa hachelewi kugeuka, akiacha marathon za kutafuta teuzi ni genius haswa
  9. Igayo jr

    JamiiForums Tanzania Wenzetu wanaenda mbele, sisi tunarudi nyuma

    Taifa limetawaliwa na unafiki.
  10. Igayo jr

    JamiiForums Tanzania Dodoma: CCM yaitisha viongozi wake wote nchi nzima kuanzia Dec 07

    Wewe ni mwizi
  11. Igayo jr

    JamiiForums Tanzania Dodoma: CCM yaitisha viongozi wake wote nchi nzima kuanzia Dec 07

    Mjinga wewe, acha kuomba laana
  12. Igayo jr

    JamiiForums Tanzania Dodoma: CCM yaitisha viongozi wake wote nchi nzima kuanzia Dec 07

    Kuwa na Aibu mkuu kusema Ccm ni chama chenye nidhamu ya pesa. Nakwambia acha kabisa hii dhambi.
  13. Igayo jr

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Kwanini Serikali imenunua mabehewa ya SGR yaliyotumika (used)?

    Hivi raisi yeye haoni wala kuwaza mpaka tuwe tunamuondoa kwenye lawama!? Kale kadaraja pale pwani kwa B7 tumepigwa, haya mabehewa pia tumepigwa. Haya mataifa ya Africa bila rushwa tungefika mbali sana
  14. Igayo jr

    JamiiForums Tanzania Ni kodi ya Watanzania itakomboa ndege iliyokamatwa, tuendelee kushangilia

    Katiba hii inawalinda mno hawa wakoloni weusi, siku madaraka yakirudi kwa wananchi itakuwa rahisi sana kukabiliana na jambo lolote au uongozi wowote. Hiki kinachotokea kuhusu ndege wananchi wanaposhangilia bila shaka ni ujumbe kwa Serikali kuwa haifai kuwa pale.
Back
Top Bottom