Recent content by ielewemitaa

 1. ielewemitaa

  Mbunge Kingu: Askofu Gwajima alidhamiria kuchonganisha Serikali na Wananchi

  Mbali wapi tena?maana yeye amefanya kazi yake vizuri kuishauri serikali
 2. ielewemitaa

  Mbunge Kingu: Askofu Gwajima alidhamiria kuchonganisha Serikali na Wananchi

  Wataalamu waliounda tume ya Rais kutafiti chanjo wameruhusu pasi na shaka kuwa chanjo inafaa , na Rais akapigwa chanjo, halafu anatokea mtu amekula maharage anasema watu wamepewa pesa, akiambiwa athibitishe hawezi sasa unataka achekewe tuuu haipo
 3. ielewemitaa

  Ndugai anatumia mda na Pesa za Walipa Kodi Kumjadili Askofu Gwajima?

  Hayo maoni yako sio sheria, ila kanuni ndio zinataka kuwa lazima asikilizwe kisha bunge lipitishe
 4. ielewemitaa

  Mbunge Kingu: Askofu Gwajima alidhamiria kuchonganisha Serikali na Wananchi

  Gwajima anaropoka bila ushahidi , anadai kuna watu wamepokea pesa kupitisha chanjo , ameombwa ushahidi ameshindwa, wacha panga limpitie
 5. ielewemitaa

  Mbunge Kingu: Askofu Gwajima alidhamiria kuchonganisha Serikali na Wananchi

  Gwajima alizidi wacha wampige nyundo
 6. ielewemitaa

  Ndugai anatumia mda na Pesa za Walipa Kodi Kumjadili Askofu Gwajima?

  Yule ni mbunge sio mpuuzi, na hivi ndio namna mambo yao yanavyo tatuliwa kwa mujibu wa kanuni
 7. ielewemitaa

  Ndugai anatumia mda na Pesa za Walipa Kodi Kumjadili Askofu Gwajima?

  Gwajima ni mbunge sasa ulitaka ashughulikiwe vip wakati huo ndio utaratibu
 8. ielewemitaa

  Ndugai anatumia mda na Pesa za Walipa Kodi Kumjadili Askofu Gwajima?

  Gwajima ni wakala tu, akishughulikiwa huyo wanakuwa wameshughulikiwa wengi na ujumbe umefika
 9. ielewemitaa

  Mbunge Kingu: Askofu Gwajima alidhamiria kuchonganisha Serikali na Wananchi

  Walikua wanaogopa kuchambwa kwenye madhabau
 10. ielewemitaa

  Kirumbe Genda: Mapendekezo ya Adhabu kwa Askofu Gwajima hazitoshi

  Gwajima amekamatwa kama kuku mwenye mdondo
 11. ielewemitaa

  Jumuiya ya kimataifa ina wasiwasi kuhusu wanawake wa Afghanistan na Haki zao

  Kama waliyajua hayo kwanini walitangaza kuondoa majeshi? Taliban anayo namna yake ya kuongoza, wao wameshindwa wakae pembeni
 12. ielewemitaa

  Jumuiya ya kimataifa ina wasiwasi kuhusu wanawake wa Afghanistan na Haki zao

  Kwenye kila uhuru kuna mipaka yake, watu lazima wadhibitiwe ili jamii iwe salama, ndio maana hata huko Ulaya sio kila mtu anaangalia Porno ni mpaka ufike miaka 18, lengo ni kumlinda kijana mdogo au mtoto mdogo, hivyo kwenye kila uhuru kuna mipaka yake
 13. ielewemitaa

  Mataifa yaanza kuwaondoa raia wake Nchini Afghanistan

  Marekani sio watu wa kuwaamini hata kidogo
Top Bottom