Recent content by Iduku

  1. Iduku

    PreGE2025 Polisi Mbeya: Ole wake yeyote mwenye nia ovu ya kufanya uhalifu au kudhuru askari au familia yake

    Mbona wao waoga raia wanapotishia?kumbe kwao kuua raia au kudhuru ni shwari,hii ni hatari sana.
  2. Iduku

    Fursa za kazi ughaibuni na mtazamo wangu

    Wakuu nimekuja kwenu kutoa ushuhuda kuwa niko ughaibuni,.yanayojili huko nyumbani sasa yanaakisi uzi wangu.
  3. Iduku

    Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

    Bado kuna mijitu inasema inamtaka Mbowe awe mwenyekiti,.. corrupt politician wa namna hii unaendelea kumwamini vipi??
  4. Iduku

    PreGE2025 Lema: Hakunaga Mwanasiasa wa Upinzani alikuwa maarufu kama Lyatonga Mrema akajidanganya kuondoka NCCR mageuzi Lakini hiyo TLP iko wapi Leo?

    mkuu wewe mbona mwoga wa mabadiliko kwenye taasisi kwa namna hii? CDM ni chama cha siasa na kinajinasibu kufuata demokrasia; kwa vile ni taasisi ya umma hakuna uhalali wa kuwa na mwenyekiti mmoja muda wote huo huku kikililia demokrasia kwenye ulingo wa siasa; ukisema ni lazima mwenyekiti awe na...
  5. Iduku

    Qatar na Dubai ndio nchi bora kufanya kazi Uarabuni

    Mkuu bado nipo, napambana niondoke nikipata visa nitarudi hapa kutoa mrejesho,japo kwa sisi wanaume safari zetu ni za gharama sana.Pia hii kitu haihitaji kukata tamaa maana michakato inakuwa migumu unaweza kacha. Sent from my TECNO BF7 using JamiiForums mobile app
  6. Iduku

    Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

    Huyu anahitaji hela ndefu sana km milion 9.5 kufanyia mtu mchakato pia sijaona update na ushuhuda wa mtu hata mmoja aliyemfanikishia safari otherwise ni mpiga kelele tu mtandaoni na msanii. Mimi nilishawasiliana naye,pia km milion 1.5 mtu imemkosa hizo bei za kina Dulla na wengineo za kwenda USA...
  7. Iduku

    Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

    mkuu umetisha sana, yes hivi vitu ndo tunataka watanzania tupeane
  8. Iduku

    Fursa za kazi ughaibuni na mtazamo wangu

    Bravo wana idadi kubwa ya waombaji hivyo inaweza kukuchukua muda sana kufikiwa batch yako. Mfano walioenda Wiki mbili zilizopita wamefanyiwa usaili mwezi wa 10 mwaka jana. Kwa maelezo ya mzee Mtemvu this coming interview watahitajika karibia watu elfu moja,hao wote hawaendi kwa mkupuo wataenda...
  9. Iduku

    Fursa za kazi ughaibuni na mtazamo wangu

    Iko hivi wao wanachukua nguvu kazi toka huku,kabla hujaondoka utafanya maandalizi ya awali kama vile vipimo vya magonjwa (medical examination), police clearance kulipia wakala wa serikali wa kazi za nje (TAESA) na vingine vidogo vidogo vya muhimu wakala wa kazi aliyekuunganisha nao atakujuza...
  10. Iduku

    Fursa za kazi ughaibuni na mtazamo wangu

    Nitatoa details mhimu nilizozifahamu hapa kuhusu hizo kazi jioni.
  11. Iduku

    Fursa za kazi ughaibuni na mtazamo wangu

    Kwa kiwanda wanachotaka watu waende ni sahihi namba haijafikia.. jambo la muhimu ambalo wanakosea ni kitowaeleza waombaji kuhusu hilo. Maana kwa haraka kwa uchunguzi binafsi nilioufanya kujua namna nguvu kazi inavyochukuliwa na na kampuni ya Alamarai huwa inafanya usaili mara moja kwa mwaka na...
  12. Iduku

    Fursa za kazi ughaibuni na mtazamo wangu

    nadhani umeelewa,ni kwamba watu wamelipia usaili muda mrefu miezi sasa lakini hawajaitwa usaili mpaka sasa
  13. Iduku

    Fursa za kazi ughaibuni na mtazamo wangu

    Hawa CIML Man Power hawako serious na recruitment yao, huwezi itisha watu kwa ajili ya usaili zaidi ya miezi sita huku hawajui unafanya usaili mwezi gani, tangazo la kutuma maombi ya kazi lipo tangu Disemba lakini hakuna usaili unafanywa, just simple wanakusanya ada ya usaili elfu 50 kwa kila...
  14. Iduku

    Qatar na Dubai ndio nchi bora kufanya kazi Uarabuni

    Habari zenu wadau wapambania fursa?Nikiwa mmoja wa wafuatiliaji wa uzi huu na fursa za kazi nje ya Tanzania, Naomba mwenye kujua taratibu za kupata kazi nchi ya Qatar kwa watanzania. Wakala wa kuaminika asiye na longolongo na kazi zinazopatikana nchini Qatar zote professional na non...
  15. Iduku

    Makao makuu ya NALA kujengwa Kenya, je Tanzania nani katuloga?

    ni sahihi mkuu. Kuwa nje ya Tanzania unaitwa beberu au mbeba box wakati watu wenyewe waliopo hapa wamechoka mbaya mifuko mitupu. Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom