Recent content by ideal

  1. I

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa LATRA haufanyi kazi, wasafirishaji washindwa kupata huduma kwa siku kadhaa

    Nachangia pale ninapo kuwa na uelewa wa jambo husika. Nachosema ni hivi' hakuna mfumo unaosumbua pale TASAC. Nimeuliza ni mfumo gani unasumbua ili usaidiwe?. Otherwise utakuwa basi unadanganya umma kupitia JF. Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa LATRA haufanyi kazi, wasafirishaji washindwa kupata huduma kwa siku kadhaa

    Hujanielewa ,na hujajibu hoja yangu.Sema ni mfumo gani unasumbua ili usaidiwe???.So far hakuna mfumo unao sumbua pale TASAC.Kama umekutana na changamoto yoyote sema usaidiwe. Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa LATRA haufanyi kazi, wasafirishaji washindwa kupata huduma kwa siku kadhaa

    Acha kudanganya TASAC mifumo yote inafanya kazi. Otherwise sema kama umekutana na changamoto yoyote na uwe specific ni mfumo gani ili usaidiwe. Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
  4. I

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyeitwa kazini SUMATRA?

    Nimekutumia no yangu nichek!
  5. I

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyeitwa kazini SUMATRA?

    Nakubaliana na wewe Sumatra wako smart sana!
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyeitwa kazini SUMATRA?

    Nadhani sasa hivi ndo wapo kwenye process ya kucheki reference. Ni Pm ntakupa details zaidi
  7. I

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyeitwa kazini SUMATRA?

    Mhhh! Mbona kuna jamaa yangu juzi walituma barua kwa employer wake amwandikie recomendation letter? Walituma barua wiki iliyopita!
  8. I

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyeitwa kazini SUMATRA?

    Ulifanya interview ya post ipi?
  9. I

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Edward Hoseah

    Nimekupata vizuri! Hata Mimi nilipitia ile riport ya Richmond , yaani nilihisi kulia. Yaani PPRA iliweka wazi kwamba taratibu hazikufuatwa hata kidogo lakini PCCB ikasema kila kitu kilienda sawa. Yaani naomba watu tujalibu hata kupitia tu ripoti moja hiyo ya Richmond ndo tutajua integrity ya...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Edward Hoseah

    Mpaka raisi anachukua hatua za kumsimamisha kazi amejiridhisha vya kutosha. Issue sio kupeleka kesi mahakamani ,issue ni kutoa ripoti kwanza. Sasa ujiulize ameisaidia vipi serikali kuipa ripoti za rushwa na ufisadi? Lazima raisi amejiridhisha vya kutosha hapa. Kwakweli TAKUKURU ni tatizo. Yeye...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Edward Hoseah

    Pitia riport ya Richmond ndo utajua Hosea yuko smart au la. ile riporti ukiisoma unaweza kulia. Yaani Takukuru ilikuwepo tu .KAZI yake ilikuwa kusafisha mafisadi! Naunga mkono utenguzi huu!
  12. I

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Unaweza pia ukajipatia kipato zaidi click hii link http://GetPayMonthly.net/?ref=104903
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya awasweka rumande Maofisa Ardhi na Mipango Miji Kinondoni

    Makonda ana Elimu ya chuo kikuu ngazi ya degree, na ameipata kihalali kabisa kwa jasho lake.Labda mlete point nyingine. Lakini kuhusu Elimu ni kwamba anayo tena ana degree ya maendeleo ya jamii.
  14. I

    JamiiForums Tanzania Looking for Assistant Accountant/Stock Controller

    Yaani hawa ndo wanasababisha wahasibu wawe wezi! F4 lini akawa assistant Accountant? Labda kama unataka stock clerk wala sio stock controller!
  15. I

    JamiiForums Tanzania Bomoa bomoa yavaa fukwe za Mbezi Beach; Kuacha kilio kwa matajiri wavunja sheria!

    Hii ni kweli! Yaani sasa hivi nchi inaendeshwa na makatibu wa kuu na raisi.....!na mambo yanaenda vizuri watumishi wanachapa kazi!
Back
Top Bottom