Mzee wangu naelewa picha unayotaka kujenga ni ukweli ulio wazi nchi yetu ina udini sana, si katika ngazi ya kijamii bali katika taasisi za kiserikali na vyombo vya kimaamuzi hali ni mbaya japo nj mjadala unaoonewa aibu .Lakini kwa hili hapana hakuna uwezekano wowote wa hao kua waislam wawe...
Mimi ni muislam lakini ninachoona mzee wangu unapotosha waziwazi .Inawezekana kweli waislam wamezuiwa bila sababu za msingi lakini unajikosesha credibility kwani kwa kutumia pcha isiyo sahihi ya ktu kinachoonekana wazi ni mashabiki wa Yanga na kudai waislam. Labda uko desperate kuonyesha watu...
nakubaliana na wewe kwamba inawezekana fedha ni nyingi zimeibiwa hakuna cha kushangaa kila mtu anajua nchi ilikua uozo lakn vyovyote ilivyo maelezo yake hayaleti logic yoyote zaidi he is misleading au he is lying either way its not presidential.
haihitaji mjadala kwamba kuna mfanyabiashara anafanya sales za million 7-8 kila dakika....it defies every logic at least kwa kila mtu ambaye ni smart kwa kiwango kidogo kabisa!
japo hustahili lakini acha nikupe benefit of doubt lets assume anafanya biashara saa 2-12 hesabu inakua hivi;
10×60=600×7000000=4,200,000,000 billions mfanyabiashara gani anafanya sales za billion 4.2 kwa siku? kama unaamini yupo na sio bakhera,mengi, mfuruki, rostam, manji, dejwi na wengine wa...
haiwezi kua excuse....ni mwendelezo wa propaganda za popularity ili aonekane masiah kila mtu mwenye akili timamu anajua ukubwa wa uozo uliopo ilitosha juhudi zake za kupambana na huo uozo zimpe hicho anachokitaka!
Haya wataalamu wa hesabu tushike peni...tumjadili jamaa aliyekuwa anaiba shilingi milioni saba kwa dakika moja, Rais Jana katuambia. Dakika moja mara saa zima, dakika 60 hizo. Haya 60 mara milioni saba? Haya hiyo idadi mara siku moja means saa 24?...halafu mara wiki? Mara mwezi? Mara mwaka? Mara...
Kweli ni ngumu lakini kama zilivyo struggle zingine zilipotia haitegemewi kua rahisi katika mazingira uliyoyasemea ndio maana kufanya siasa ya upinzani kunahitaji kujitoa zaidi....kuongozwa na dhamira na kutokua na woga kuvionyesha vyombo vya dola na watawala kwamba matendo yoyote ya kukandamiza...
Japo hakuna mtu anayetaka tufike huko isipokua dola na watawala...wameshndwa kabisa kupata somo katika historia madhara ya kukandamiza uhuru wa watu kuwa na maoni...tuombe mungu tuaifike huko na watawala wetu wapate busara kwamba wanachofanya ni hatari kubwa
Nakubaliana na wewe kwa mambo mengi lakini ukweli hili si suala la chama kimoja, kinachoendelea ni kikwazo kwa vyama vyote makini hivyo si la chadema peke yao....ni tatizo la nchi kiujumla kwani yanaweka hali ya usalama na ustawi wa taifa ya muda mrefu mashakani.
vyama kama taasisi vina nafasi kubwa ya kujipanga na kujipambanua kisera kama vyama mbadala, vilevile wananchi wanatakiwa kuwa na utayari hata hivyo kwa kiasi kikubwa kama mifumo ya kikatiba na sheria inayoongoza uchaguzi inakua ni kazi ngumu kufanikisha malengo ya vyama vya siasa vya...
uko sahihi kwa kiasi kikubwa, In ideal world kla mtu angetamani tufanye siasa ya kistaarabu pekee lakini kiukweli hakuna sehemu yoyote (hasa Africa) siasa za namna zimefanikiwe.tuombe tusifike kwa wenzetu
Kama vyama vya siasa vya upinzani vya Tanzania vilianza kufikiri kubadili uelekeo wa siasa za kiharakati na kuwa vyama vya kisera na itikadi pekee basi vinapaswa kurudi nyuma na kujitathini upya.
Kuonyesha kwamba havina uchaguzi wa kutenganisha harakati na kujikita kwenye sera pekee angalia...
Kwa kipindi tukiwa tunaelekea uchaguzi mkuu wa mwaka jana tulikua na mjadala mkubwa wa aina gani ya kiongozi(rais)anatufaa hasa kutokana na mwenendo wa hovyo wa muongo mmoja wa uongozi wa JK uliokua unaishia ambao uliacha kila mtu mwenye nafasi ajifanyie na kujitwalia chochote anachotaka kana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.