Recent content by Iddy Mussa

  1. I

    SoC04 Natamani kuona ushirikiano baina ya Sekta ya Afya dhidi ya taasisi zinazosimamia imani za kidini nchini Tanzania

    Imani zina nguvu sana ila kwa kuwa kote kote lengo ni kuponyesha basi kuna haja ya kushirikiana. Mfano kuna baadhi ya imani huwa nasikia wao ni mwiko kuongezewa damu jambo ambalo ni sahihi ktk utaratibu wa imani lakini sekta ya afya ikitengeneza mazingira mazuri na uwanja wa ushirikiano baina...
  2. I

    SoC03 Nitafurahi kuona uboreshaji wa mfumo na muongozo wa utoaji wa taarifa za Kiserikali nchini Tanzania

    Mfano kuna mmoja aliwahi sema siongei na watu ambao hawajasoma😭
  3. I

    SoC03 Nitafurahi kuona uboreshaji wa mfumo na muongozo wa utoaji wa taarifa za Kiserikali nchini Tanzania

    Andiko zuri sana, lakini ningefurahi endapo ungewataja kwa majina hao wanaokuwa wakali pindi watu wanapoulizia taarifa fulani......😂
  4. I

    SoC03 Ni jukumu langu kuleta mapinduzi ya kijani kwa maendeleo ya taifa

    Mawazo kama haya yangefikishwa public au ungeandika katika threads pia ili wayafikie kwa uharaka Ni mawazo mazuri kiukweli
  5. I

    SoC02 Kilio changu katika sekta ya Afya

    Mfumo wetu pia unahitaji kubadilishwa kweli, afya bora huanzia nyumbani na sio hospitali tuuu
  6. I

    SoC02 Ni wakati sasa wa kumaliza vita hii ya vijana dhidi ya ukuaji wa sayansi na teknolojia

    Kumbe hata sisi tunaweza, hao vijana waliotengeneza mkanda salama niliwaona kwenye Tv wakiwa na waziri wa Afya ningependa unifafanulie huo mkanda salama mkuu...........ila kongole sana kwa idea nzuri
  7. I

    SoC02 Ni muda muafaka wa kuinua vilivyo vyetu

    Umenena vema kaka angu, mfano wa viwanda vikubwa ni MO~DEWJI COMPANY LTD, BAKHRESA n.k hivi viwe mifano bora kwa wengine hakina kwangu naona vinajitahidi. Nimependa tittle yako ya Ni muda muafaka wa kuinua vilivyo vyetu.
Back
Top Bottom