Recent content by iddy m juma

  1. iddy m juma

    JamiiForums Tanzania Offer kwa wakazi wa Arusha na nje ya arusha

    Ndio mheshimiwa Sent from Ifa International Catering Service
  2. iddy m juma

    JamiiForums Tanzania Offer kwa wakazi wa Arusha na nje ya arusha

    Tanga Fast Food Investment imerudi tena na imeamua kubadilisha jina lake la kibiashara na kuitwa IFA INTERNATIONAL CATERING SERVICE kutoka na maombi ya wateja wetu wengi . Hivyo basi katika msimu huu wa sikukuu imetoa offer nyingi nyingi sana kwa yule mteja ambaye atakae penda huduma yetu. Mfano...
  3. iddy m juma

    JamiiForums Tanzania Voda mnanichosha jamany

    Bora network je humjaona gharama za simu zilivyo panda juu sana hauwezi amini kuwa sasa hakuna cheka ya mitandao yote yaani inabidi tuame tu nimechoka na hiyo voda ni wajinga yaani sasa hivi lazima uwe na laini ya tigo au airtel Sent from Ifa International Catering Service
  4. iddy m juma

    JamiiForums Tanzania New quality catering in Arusha

    Kwa ofa tunatoa lakini kwa percent fulani kama vile katika mteja atanunua nusu na sie tunatoa nusu halafu kwa upande wa bei gani watu huwa wanachagua menu wapendazo ndio tunaongea bei Sent by Ifa
  5. iddy m juma

    JamiiForums Tanzania New quality catering in Arusha

    Ifa International Catering Service Ltd Ni mojawapo mwa kampuni chipukizi ndani ya jiji la Arusha ambapo imeweza kufanya kazi kubwa za kitaifa na kimataifa . Kama kampuni imeshaweza kufanya kazi katika makampuni makubwa kama vile AICC ( Arusha International Conference Centre) na EAC, kwa...
  6. iddy m juma

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya kifisadi ya Dr. Slaa kwenye ziara ya mkoa wa Kigoma, Singida, Tabora na Shinyanga

    Acha njaa mbona matumizi ya kawaida Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Back
Top Bottom