Offer kwa wakazi wa Arusha na nje ya arusha

iddy m juma

Member
Dec 5, 2013
6
0
Tanga Fast Food Investment imerudi tena na imeamua kubadilisha jina lake la kibiashara na kuitwa IFA INTERNATIONAL CATERING SERVICE kutoka na maombi ya wateja wetu wengi . Hivyo basi katika msimu huu wa sikukuu imetoa offer nyingi nyingi sana kwa yule mteja ambaye atakae penda huduma yetu. Mfano katika , harusi, ubarikio, kitchen part, send off, na sherehe aina zozote au matukio ya kiserikali kama vile mikutano, makongamano, na mengine mengi. Uzoefu wetu ni mkubwa katika kazi ambapo tumeshafanya kazi za kimataifa na za kitaifa za catering kwa ujumla ndani ya Arusha na Nje. Karibu sana mteja kwa punguzo hili lenye uhakika wa hali ya juu. Kwa mawasiliano piga +255755691841. Tuna uwezo wa kumuhudumia mtu mmoja (1) hadi 5000 na kuendelea bila wasiwasi

Sent from Ifa International Catering Service
 
Back
Top Bottom