Recent content by Idans

  1. I

    JamiiForums Tanzania GE2010 Pingamizi la CHADEMA latupwa

    Tanzania inamhitaji mtu atakayesimama katika falsafa za Hayati Luck Dube, kama utahitaji kusimama katika haki na kweli, kubali kusimama peke yako. Utegemezi ni mdudu atakayetumaliza. Anyway all ears are upon the media kujua hatma.
  2. I

    JamiiForums Tanzania GE2010 Pingamizi la CHADEMA latupwa

    Yetu masikio
  3. I

    JamiiForums Tanzania Nadhani si haki kwa Obama kuonekana hivi!!!

    Hebu waungwana tucomment juu ya picha hizi hapa chini zinazoundwa na hawa wenzetu weupe!! izi it fair?
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mh! Hivi hawa watu wanapata wapi data zao!?

    Katika dunia hii iliyotawaliwa na mfumo onevu wa kibepari tuwe makini sana ktk mahusiano yetu na nchi za magharibi kwani ziko tayari kulazimisha mahusiano hata kwa ku recommend positive ili watunase.......loook very(angalia sn)
  5. I

    JamiiForums Tanzania Mh! Hivi hawa watu wanapata wapi data zao!?

    Usimkabidhi paka akulelee panya kwa tabasamu lake
  6. I

    JamiiForums Tanzania Ktk hili waziri wa Afya hastahili kuwajibika?

    Ukishaona umeiharibia jamii, c mbaya ukaupisha uma
  7. I

    JamiiForums Tanzania Ktk hili waziri wa Afya hastahili kuwajibika?

    Tujifunze kuwajibishwa kama hatutaki kuwajibika
Back
Top Bottom