Recent content by icyhacker

  1. icyhacker

    Kwa watumiaji wa Google Pixel

    mambo vip wadau? hizi simu za google pixel ni nzuri sana ila naona kwa hapa dar wengi wanauza zile used za grade ya chini kabisa, vip kwa hapa dar ni duka gani wanauza hizi simu used za google pixel grade A??
  2. icyhacker

    Naomba ushauri: Nichukue ipi kati ya Redmi Xiaomi na Samsung?

    Bei gani redmi note 10 pro mkuu??
  3. icyhacker

    SoC01 Mambo kumi muhimu kwa wanafunzi wa elimu ya juu

    Shukran sana mkuu, madini mazuri sana na Mungu akubariki
  4. icyhacker

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nimeshaweka mkuu
  5. icyhacker

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Model;Samsung s9 Condition:CLEAN,NO SCRATCH RAM:4GB SRORAGE;64GB SINGLE LINE BEI 350K
  6. icyhacker

    Wauza smartphone tukutane hapa

    kweli kabisa kaka
  7. icyhacker

    Wauza smartphone tukutane hapa

    mkuu me nataka ya 64GB
  8. icyhacker

    Wauza smartphone tukutane hapa

    kulingana na maelezo uliyoyatoa kwenye hizi i phone ambazo zinakuja hapa tz, ina maana hata hii google pixel sio genuine??
  9. icyhacker

    Wauza smartphone tukutane hapa

    natafuta google pixel 3xl, kama unayo njoo tuongee biashara
  10. icyhacker

    Habarini ndugu zangu , ninauza simu aina ya Google Pixel 32 Gb

    mkuu hyo pixel3 ulinunua sh ngap??
  11. icyhacker

    Diploma kuomba mkopo, AVN- NACTE

    daaaaaah! mzee AVN gan hyo haihitaji payments? ni lazima ulipie elfu 10 ndo upate hyo AVN bro
Back
Top Bottom