muxa
Senior Member
- Jun 6, 2016
- 195
- 161
mkuu unaweza kuscreenshot pale kweny profile lako ulipojaza qualification zake ili nikupe maelekezo
baada ya ayo masaa 120 ndo wanakupa sms ya kulipia kupitia M-pesa
baada ya ayo masaa 120 ndo wanakupa sms ya kulipia kupitia M-pesa
Au n baada ya hayo masaa 120 ndio watanitumia SMS ya kulipia...sielewi ndugu zangu msinichoke....mshkaji anahitaji kwenda chuo sema hana idea yeyote...please great thinkers