Recent content by icon_2000

  1. I

    JamiiForums Tanzania Kuongeza urefu wa kimo

    Wadau mimi naomba niulize, hivi kuna dawa youote ya kuongeza urefu wa mwili (kimo). Na imedhibitishwa kihalali?
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mimi mwanachuo

    Shukran, mungu awe nawe
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mimi mwanachuo

    Hapo nime kuelewa kaka
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mimi mwanachuo

    Barua gani tena kaka
  5. I

    JamiiForums Tanzania Mimi mwanachuo

    Sawa kaka, niko duce campus ya udsm
  6. I

    JamiiForums Tanzania Mimi mwanachuo

    Na 1.9 pcb
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mimi mwanachuo

    Aanha🙏🙏 sema insu ipo kwenye competition ya admission, Mana hii Tanzania inafaidiwa na watu wenye connection zao, lakn kwetu kama ss ni kazi
  8. I

    JamiiForums Tanzania Mimi mwanachuo

    Niko mwaka 1, nilitaka, nursing au Radiotherapy. Mkuu Sema shida tena ipo kwenye admission competition daa
  9. I

    JamiiForums Tanzania Mimi mwanachuo

    Eee mkuu, hiyo ina kaaie kaka, mana sema ukweli education ni changamoto tukiachana na mambo mengne
  10. I

    JamiiForums Tanzania Mimi mwanachuo

    Hamna kaka kisa naona education sio mahali bora kiuhalisia. Kwani uki disiko ina ruhusiwa hiyo??
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mimi mwanachuo

    Mimi ni mwanachuo nae soma education, Nataka nifute usajili nikaaply mwaka huu upya tena, Je inawezekana wakuubwa zangu
  12. I

    JamiiForums Tanzania Msaada; Naweza kuomba mkopo kusoma shahada nyingine nikiwa bado nina mkopo?

    Kwanza nashukru, nyote ni wazima wa afya . Naombeni kuuliza hivi, ukisoma education na ulipata mkopo kama unataka kuongeza degree nyingine mara baada ya kihitimu. Unarudisha mkopo kwanza ndo uombee tena ?? Na kama ushaanza chuo kwa muda wa mwaka 1, je inawezekana kufuta usajili uka apply upya
  13. I

    JamiiForums Tanzania Connection TCU??

    Ya admission office,, wahusika
  14. I

    JamiiForums Tanzania Connection TCU??

    Ndo mana nimeomba naweza lipia
Back
Top Bottom