Recent content by ICOGNITO-INC

  1. I

    Kalemani hapa solution kwa sasa ni IPTL au tusubiri mvua mwezi wa tatu 2018

    Mkuu nimekupa like yangu. Hii kuteua watu ambao ni non-prefessional kwenye sekta fulani waongoze hizo sekta litaipeleka hii nchi kusiko. Mabadiliko ya hivi karibuni ya mkuu watu wamepewa post ambazo hawana skills nazo hali hii haitaisaidia hii nchi refer huyo Kalemani kuongoza nishati wakati...
  2. I

    Mwenye uthibitisho kuwa Magufuli anapambana na rushwa auseme hapa, zaidi ya kuchochea na hawaguswi

    Hivi kwenye hizi teuzi mbona sioni waislamu? Au hakuna wasomi waislamu nchi hii?
  3. I

    Lissu: Si mara ya kwanza tunaahidiwa kuwekewa mikataba wazi. Kumuunga mkono Rais si lazima

    Hatua anazozichukua Rais mimi naziunga mkono kwa sababu angalau kwa mara ya kwanza maumuzi haya yako informed na uchambuzi wa kitaalamu. Hata hivyo ili kupata ukweli halisi Ben Mkapa na JK lazima lazima nao waunganishwe pamoja na viongozi wengine na wataalamu waliotajwa katika report na hii...
  4. I

    Mahakama Kuu Kenya kuzuia madaktari wetu kuajiriwa kwao: Watanzania tumejifunza nini?

    Nilichojifunza ni kuwa Kenya baada ya kubadili katiba yao imewezesha nchi hiyo kuwa na mifumo na taasisi imara zinazoweza kusimamia haki na uwajibikaji bila ya kuingiliwa na mihimili mingine na hasa serikali. Tanzania ni lazima tufike mahali tukubali kuwa ili nchi yetu ipige hatua kubwa za...
  5. I

    Mhe. Rais, Mitandao ya kijamii yaweza kuangusha serikali. Actually, imewahi kuangusha serikali!

    Mkuu hiyo sasa ndiyo asili ya wanyarwanda, baada ya kukabidhiwa nchi ameonyesha tabia yake halisi. Mnyarwanda akiwa anataka kitu hujishusha na kujifanya mtu wa watu. Ila akipata anachokitaka tabia yake halisi hujitokeza. Hilo la kuwa JPM ni msukuma ni koti tu lakini yeye ni mnyarwanda hasa!
  6. I

    Nakwenda India Kesho, Kinana yuko Hospitali Gani Nikamsabahi?

    Hili la kumtuma Kinana India kwenda kutibiwa, ni dhahiri mkuu amechanganyikiwa, siyo hali ya kawaida! Anachanganyikiwa kwa sababu ya kumpigania Bashite! Mimi nina wasiwasi Bashite atakuwa ni Mnyarwanda mwenzake! Wasukuma tuwajuao sisi hawako hivyo!
  7. I

    Rais Magufuli ameona anguko lake 2020, sasa anataka kujisafisha kwa kina Kikwete

    Uteuzi wa mama Salma ni kielelezo cha jinsi Magufuli nchi ilivyomshinda! Udhalilishaji aliowafanyia baadhi ya watendaji wa serikali iliyopita na hata Kikwete mwenyewe pamoja na viongozi wa CCM ndiyo anguko lake la kisiasa. Ni wakati muafaka kabisa wa kuisimamia misingi ya nchi yetu bila kujali...
  8. I

    Hizi ndio sababu kubwa kuliko zote za Magufuli kuchukia haya magazeti

    Ili afanikiwe kuyatimiza aliyoahidi, ange delegate power kwa wateule wake wachape kazi halafu yeye awe overall supervisor. Tatizo yeye amekuwa ndiyo mtekelezaji na msimamizi definitely as a human being hapo hawezi kufanikisha yote!
  9. I

    Tunahitaji nini, maarifa ya mtu, cheti au jina?

    Kabisa mkuu! Hii inaonyesha huko ndani ya CCM walioforge vyeti ni wengi sana - refer Hamis Kigwangalah, Mwigulu Nchemba, Paul Makonda..........etc and they hold sensitive positions kwenye hii serikali. Haishangazi kwa maamuzi yao yasiyo na busara na watu dizaini hiyo wanajua sana kujipendekeza...
  10. I

    Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

    Ina maana Paskali unataka kutuambia waliomteua kumpa Ukuu wa Mkoa hawakumfanyia hata vetting kujiridhisha na background yake?
  11. I

    Paul Makonda kujibu tuhuma zilizoelekezwa kwake kupitia PB ya Clouds FM tar Februari 23, 2017

    Mkuu Lizaboni haya mambo hayahitaji hasira! Majibu ya aina hii yanadhihirisha wewe ni mtu wa aina gani!
  12. I

    Magufuli, "Kama Unaona Kazi ya Urais ni Ngumu Kwako, Jiuzulu! ".

    Tatizo kubwa kwenye hii serikali ni mfumo wa uendeshaji wa nchi. In my opinion the government system is almost paralyzed and its daily business is being run by one person. Wengi wa wateule wa Rais kwa sasa hawana tena decision kwenye key issues katika maeneo yao ya kazi, hawana rasilimali za...
  13. I

    KISUTU: Yaliyojiri kesi ya Tundu Lissu na Wahariri wa Gazeti la Mawio. Shahidi wa Jamhuri aweweseka

    Lissu ni nuksi, hapo kwenye hofu ya dikteta alimanisha Juma Pumba hahahahaa
  14. I

    Mjue mshauri wa Rais Magufuli anayedumaza uchumi

    Kabisa mkuu pepo hili la kiburi likimtoka nchi itapiga hatua kubwa. Huwa anasema aombewe nafikiri cha muhimu kabisa anachotakiwa kuombewa ni kuondokana na pepo la kiburi ili aweze kupata busara na hekima ya kutuongoza Watanzania! Binafsi nashangaa sana nchi inapohimiza ukusanyaji wa kodi wakati...
  15. I

    Hakuna haja ya kuwa na Bunge la bajeti

    Naunga mkono hoja kwa 100%. Wabunge wetu hawajitambui na inadhihirisha wapo kwa maslahi yao kwa sababu haingii akilini kuwa haya matendo yanayofanywa na Mkuu wa nchi hawayaoni! Suala hili tunatakiwa wananchi tulipigie kelele kwa sababu gharama inayotumika kuendesha bunge la bajeti ni kubwa sana...
Back
Top Bottom