Recent content by Icadon

 1. Icadon

  JamiiForums Advert Competition

  YouTube - Jamii Forums 1.3
 2. Icadon

  Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

  Hizi Pics haziko katika mpangilio.
 3. Icadon

  Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

  Angalia tofauti ya thickness ya milango ya magari.
 4. Icadon

  Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

  Counter Sniper wakati Obamas wameenda New York
 5. Icadon

  Ikulu ya Tanzania

  Mtafute mnikulu. Mbele Nyuma
 6. Icadon

  Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

  Tangu kuuliwa kwa Kennedy ni marais wangapi duniani wameuliwa na snipers?
 7. Icadon

  Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

  Mods/admin tafadhali kuna uwezekano wa kuifanya hiyo post ya kwanza isionekane? Ogah, mie bado natamani sana jamaa wa PSU waje hapa watupe elimu kuhusu kazi yao, kuna forum mmoja nilikuwa nakwenda kabla haijafungwa wamejazana jamaa wa Close Protection kutoka sehemu mbali mbali duniani alafu...
 8. Icadon

  Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

  Ni Tanzania tuu ndio tunaaminishwa kuwa walinzi wa viongozi hawatakiwi kujulikana. Ningefurahi sana kama watu wa PSU wangekuwa wanakuja kwenye hii thread na kutuelezea mawili matatu kuhusu kazi zao za kila siku. Na hatutokwenda nje ya OPSEC.
 9. Icadon

  Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

  Wenyewe wanadai inahatarisha usalama wa taifa...weekend njema.
 10. Icadon

  Imagination - My Encounter with Super Lady in JF

  Muulize NN, ila ni one of those we call Iron ladies so inabidi uwe kwenye A game yako ili kuweza kuwa naye sambamba.
 11. Icadon

  January Makamba: A New Generation Leader!

  Kwa mlio karibu na JM, je mwenyewe anataka nafasi za kugombea au mnaspeculate? Najua rafiki yake(Togolani) anapenda sana siasa.
 12. Icadon

  January Makamba: A New Generation Leader!

  Tuone sisi wataalamu wa hostile takeovers tukupe ushauri.
 13. Icadon

  January Makamba: A New Generation Leader!

  Kama kaoa long, mbona hapo kwenye article yake anazungumzia kuhusu maswala ya kumicrowave ama mke ni sista du asiyejua kupika?
Top Bottom