Asante Tatiana,
Unataka kusoma masters katika nini? Na plan yako ni kujilipia ada ama kuomba ufadhili?
Kampuni yetu inashughulikia kuwaombea udahili (admission) wanafunzi wanaohitaji kusoma (diploma, bachelor, masters, PhD) na wengi wa wateja wetu ni wale wenye mpango wa kujilipia karo...