Recent content by Ibrambeya

  1. Ibrambeya

    Ushauri wako ni muhimu

    Nashkur muungwana Majibu yako la 1,2 na 3 yamenipa uelekeo mzuri..... Kifupi mahusiano na matukio hayo niliyoandika ni robo ya tukio zima.... Nimejaribu sana kufupisha..... Mapenzi ni upofu... Najitambua kiafya na napima mara kwa mara..... Naye binti Huyo alikuwa akipima..... Condom tulitumia...
  2. Ibrambeya

    Ushauri wako ni muhimu

    Jenerali...... That's why ure General........ Hizi kazi. .... Itabidi niongeze umakini..... Nashkur kwa ushauri mkuu....
  3. Ibrambeya

    Ushauri wako ni muhimu

    Kwel ni ngumu mwanamama ..... Lakini hili suala mara nyingi.... Ni kuaminiana..... Coz Ukisema Hivyo.... Inawezekana hata wa ndoa unakuta mtu Sio wako...... Na plan ya DNA ni mapema sana.....
  4. Ibrambeya

    Ushauri wako ni muhimu

    Nashkur kwa ushauri....... Kuntu.......
  5. Ibrambeya

    Ushauri wako ni muhimu

    Poa mkuu mi Nakuelewa............. Nashkur kwa ushauri
  6. Ibrambeya

    Ushauri wako ni muhimu

    Shamkware...... Nashukuru kwa ushauri wako........ Nitaufanyia kazi......
  7. Ibrambeya

    Ushauri wako ni muhimu

    Sawa mkuu...... Nimeishi na watu wengi sana mpaka nimefika umri huu...... "As people are equal but not the same "....... Be blessed
  8. Ibrambeya

    Ushauri wako ni muhimu

    Naithibitisha ni ya Kwangu kwa namna tarehe zilivyooana..... Pia ktk kila hatua alinijuza....... Meanwhile alikuwa mkweli kwenye baadh ya mambo.... Inanipa iman......
  9. Ibrambeya

    Ushauri wako ni muhimu

    Naipenda familia yangu........ Sintosita kumwambia...... Ngoja nijipange nimwambie......
  10. Ibrambeya

    Ushauri wako ni muhimu

    Magombe...... Nashkur.. Ntajitajidi zaid ya hapa.. I will try for my next level
  11. Ibrambeya

    Ushauri wako ni muhimu

    Mkristo mwenye Imani ya kati
  12. Ibrambeya

    Ushauri wako ni muhimu

    Aminaaaa....... Ntafanyia kazi mawazo yako..... Ure positive thinker.....
  13. Ibrambeya

    Ushauri wako ni muhimu

    Ushauri wako umefika....... But let's me pause the questions for u..... 1. Umeolewa 2. Kama ndio... Hujawah fanya kosa lolote.... Ktk maisha yako kwa Mungu na kwa binadamu...... 3. Unafikiri Kuna yoyote mkamilifu katika dunia? NIJIBU HATA MOJA
  14. Ibrambeya

    Ushauri wako ni muhimu

    Senior Boss..... Nashkur kwa ushauri wako.....
  15. Ibrambeya

    Ushauri wako ni muhimu

    Poa mkuu Ngoja nimtengenezee Mazingira Nimjuze
Back
Top Bottom