Recent content by Ibrahimu Juma

  1. I

    JamiiForums Tanzania Viongozi na wanachama wote wa wa chadema vyuo vikuu-iringa..

    Leo,viongozi na wanachadema wafanya kikao cha kujadili maendeleo ya chama na jinsi ya kupambana na ufisadi mkuu katika taifa letu.Lakini pia katika kikao kilichofanywa na wanachama hao,WAUNGA MKONO MAAMUZI YA KAMATI KUU CHADEMA KWA MHE. ZITTO KABWE NA DR. KITILA MKUMBO.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kwa wale watu wa singida....wanaosoma MUCE....

    Ok wasingida wote tuwasiliane wakuu.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Kiomboi school of nursing

    kipo wapi?
  4. I

    JamiiForums Tanzania Kubebana.....

    Huu msemo unatumiwa sana MUCE,wakuu wa MUCE hasa watalaamu wa kiswahili,tutafutieni msemo mzuri ambao nikiutamka hautafikirika kwa fikira tata,binafsi haka kamsemo sikapendi.....
  5. I

    JamiiForums Tanzania Karibuni MUCE,a.k.a PEPONI.

    ila mi kinachoniboa muce wakuu....,ni hii week ya orientation mambo slow sana,afu najiuliza ni kwa nini....,TCU kila mwaka wanaleta wasichana wachache MUCE!...,tunakomoana au.....,basi MUCE kiwe chuo cha boys tu....,coz ktk wanafunzi 1000 na......,wasichana ni 200 tu kwa 1st year,jamani hili...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli ndg. Mulugo (n/waziri wa elimu )kasema haya?

    mkuu...,nimecheka sana
  7. I

    JamiiForums Tanzania Kwa wale watu wa singida....wanaosoma MUCE....

    Kama umetoka singida hasa IRAMBA halafu unasoma MUCE...,tafadhali tuwasiliane kupitia no. 0756816536.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Udom kama Barcelona

    binafsi cjawahi kuona msomi punguani kama huyuuuuuu.......,yaani anajicfia majengo na programes...afu wanafunzi wanandinya....
  9. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serious.....

    Natafuta mchumba ambaye ana umri kati ya miaka 19 hadi 23.Contact me 0756816536.SORRY KAMA HII THREAD HUTAIPENDA,USITUKANE.
  10. I

    JamiiForums Tanzania CCM wasalimu Iringa mjini

    binsfsi sina wasiwasi na chadema iringa.....,na kesho naenda kushuhudia mwenge wetu ila sipendezwi na viongozi wa ccm jinsi wanavyoutumia mwenge wa uhuru kama mbinu yao kujiimarisha kisiasa.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Sijamuoa mtoto wa rais Kikwete, sipo bungeni kwa ajili ya kupigana ngumi

    Mkuu binafsi umeshaanza kuniboa,tena sana coz umeshaanza kula unga wa ndere wa ccm.............
  12. I

    JamiiForums Tanzania udsm_muce hakuna kitu bora teKu

    huku hakuna mademu wazuri nahisi nitadisco bila mademu naomba ushauri wakuu! via oil sumu never die
  13. I

    JamiiForums Tanzania Kwa tcu na jkt

    Wimbo wa LADY JAYDEE-YAHAYA UNAISHI WAPI,UJUMBE KWA TCU na JKT popote taasisi hizi zilipo.
  14. I

    JamiiForums Tanzania Heslb+tcu tetesi ya kweli

    Nimekukubali Mkuu
Back
Top Bottom