Recent content by ibrahimu boman

  1. ibrahimu boman

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: CHADEMA wamepoteza dira

    Lipumba ndugu yangu atukuelewi sisi wana cuf.umeondoka umekiacha chama kikiwa na wabunge wawili tu huku bara now ujio wa lowasa tumeunganisha nguvu sasa tunao zaidi ya 20 hivi ulitakaje ndugu yetu au unamengine mara ya mwisho ulipata kura laki 4 tu ktk urais ndugu tuache sisi tunataka mageuzi ya...
  2. ibrahimu boman

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri viwanja vya Furahisha Mwanza: Mkutano wa kampeni ya Dr. John Magufuli - Oktoba 17, 2015

    Kawaida tuu awezi kufikia rekodi ya edo
  3. ibrahimu boman

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Lowassa wazuiwa na Umati Muheza na Korogwe

    Lowasa moto chini lowasa moto chini ikulu hile huyu jamaa namkubali sana kwakua hana majungu anamda na porojo kila la kheri lowasa
  4. ibrahimu boman

    JamiiForums Tanzania Ruhusa ya talaka kanisa Katoliki, ndoa si salama tena

    Kweli kwani kuna watu wametengana miaka 3 taamaki mke kapata ukimwi sasa hapa itakuwa vipi ...hapo suluhisho nini warudiane au mume aruhusiwe kuvuta jiko jipya?
  5. ibrahimu boman

    JamiiForums Tanzania Shida ni Lowassa sio CHADEMA "ni bora tumchague Magufuli kuliko Lowassa wa Gwajima"

    Hata mh.baba wataifa alikuwa hapendi kuvaa sare yeye kaunda suti tu so lowasa anamuhenzi
  6. ibrahimu boman

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa tolea maelezo hii picha tafadhali

    Lowasaaaaaaaa
Back
Top Bottom