Mama kweli tumejaa mbumbu kwenye nchi yetu na tunaongozwa na mbu....ndio mana tunashadidia mambo ya kipuuzi ndioo mana naoo wanatupuuza tubadiliken basi
Sijawahi ona utawala wa ajabu kama awam ya ....wanakuambiaa j pili atakuwa amepatikana kwa iyo wa najuaa alapo roman sasa tunahangaika na nni tusubr j pili iyo kwa sababu walishaona nchi hii ni kama ya bbi yao
Ni kweli unajuaa sisi watanzaniaa kidogo naona hatujielewi ifikapo 2019 mambo mazur watatuleteaa kama ajira za walim zitakuepo mikopo itakuepo na kila kitu kitakuwa mbashara baada ya uchaguz tunaanza tena maneno na shida nyingi Mara pesa hakuna biashara ngumu basi tubadiken inaumaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.