Shikamoni mliomo humu ndani kaka & dada zangu. Kwa kweli nimefarijika mdogo wenu kwa KUIJUWA mtandao huu ambao watu wanajadiliana mambo mbalimbali kama elimu, afya,vichekesho, siasa n.k
Jina langu naitwa Ibrahim Mussa kama nilivyopewa na wazazi wangu, nina umri wa miaka 16. Ni mwanafunzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.