Recent content by Ibrahim Mnara

  1. Ibrahim Mnara

    Ardhi University(ARU) - Special Thread

    Wakuu naomba kuuliza kwa wale wanafunz wa f 4 waliomaliza shule za ufund na kuweza kufaulu mitihan yao je wanaweza kujiunga na ardh university kwa levl ya deploma
  2. Ibrahim Mnara

    Civil Engineering Special Thread!

    Asante mkuu ila drainage nnazozungumzia mm n za surface rain off yan za maj ya mvua
  3. Ibrahim Mnara

    Civil Engineering Special Thread!

    Wakuu msaada wenu nauliza Je designing ya surface drainage (side drainage) inafanana na designing ya drainage inayopita kweny mitaa..!?
  4. Ibrahim Mnara

    Civil Engineering Special Thread!

    Apoo nahic km insufficient support ya form work
Back
Top Bottom