Recent content by ibrahim masanga

  1. I

    Wakuu nimeibiwa

    Pole kwa mtihani kila mtu anajisemea kwa nafsi yake Je?brother huyu bint ukimlipa mshahara kwa wakati,na hakua akikudai chochote Nadhani ni hivyo . Basi kama ni hivyo chukua tahadhari japo kuna usemi ambao Mimi siuafiki wanaseama Adui wa kwanza katika kazi yako ni mfanyakazi wako Pole sana’
  2. I

    Jinsi ya kuwa mjasiriamali wa kisasa

    Nimekuelewa vizuri sana ubarikiwe
  3. I

    Jinsi Ndege za ATC zinavyohujumiwa na kuibiwa Mapato

    Ni busara tukawasikia na watuhumiwa nao wakatoa maelezo yao maelezo ya upande mmoja siyaafiki
  4. I

    Kumbuka kufanya maandalizi ya Maisha(Stori ya Kweli)

    Pole mwanangu BABA alikutupa ,sasa wewe usiwe kama yeye mlee baba yako malipo yako utayakuta mbinguni
  5. I

    Wasifu wa mfanyabiashara namba moja kwa utajiri duniani

    Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom