Recent content by ibrahim magwe

  1. I

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    kazi za polisi zinafuata sheria na kanuni vile vile mazingira ndio yanaongoza ukamataji na upekuzi.tambua kuna waizi wa kuku na waizi wenye kutumia bunduki na makosa madogo kama lugha ya matusi .huo ni mfano tu yapo mazingira mengi hatarishi na rafiki
  2. I

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    ungefafanua mazingira ya ukamataji na upekuzi kutokana na mazingira mfano ya hatari na wahalifu sugu hata kama ni usiku.tambua kuna ambush inakuaje
  3. I

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    vipi kuhusu upekuzi wa dharula.vipi kumkamata jambazi mwenye silaha .inakuaje kama utapata taarifa kuna vitu vya hatari ktk nyumba au gari kama mabomu ,bunduki nk
  4. I

    Tukiri kuwa Jeshi la polisi sasa limeshindwa

    suala la ulinzi halina siasa jitafakari mwenyewe ni mambo mangapi yanatokea mbele yako na ukatoa taarifa ili kuzuia uhalifu usitendeke au uvunjaji wa amani .tuwe wazalendo sio kulalamika kwani lazima tushiriki japo kwa kutoa taarifa
  5. I

    Tukiri kuwa Jeshi la polisi sasa limeshindwa

    jeshi la polisi linafanya kazi kwa kupokea taarifa kutoka kwa raia wote wa nchi.kuwa mzalendo ni pamoja na kutoa taarifa zote zinazoatarisha amani na utulivu,polisi ni watoto kaka dada zetu kamwe hawawezi kutusaliti cha muhimu tushirikiane nao ,lazima wahalifu wapatikane tunaishi nao hawakai porini.
  6. I

    Tukiri kuwa Jeshi la polisi sasa limeshindwa

    ni muda wa kuungana pamoja kuwabaini wahalifu kwani hata katiba inasema kila mtu ana jukumu la kushiriki ktk ulinzi na kudumisha amani .maadui tunaishi nao ,na kama wanatoka nje tunawapokea sasa tuwe wazalendo kupambana nao kwani wanaweza kumdhuru yeyote.tuungane pamoja kuwatokomeza
  7. I

    Ni upi msimamo wa taasisi za kiislamu kwa vitendo vya boko haram?

    Uislam si utesaji na utekaji nyara,hao ni watenda maasi .uislam haagizi matendo mabaya dhidi ya mwanaadamu .wanafanya makosa
  8. I

    Wenye ndoa zilizovunjika tupeane uzoefu tafadhali

    Ndoa ni uvumilivu na busara matatizo hayalingani ila busara mi lazima.fikiria watoto
  9. I

    Kuinua Gari juu kidogo na madhara yake.

    yah ukiinua sana kitalamu gari inapunguzaa mgh hivyo inakua haina balance barabarani
Back
Top Bottom