Recent content by ibrahim.kitundu

  1. I

    JamiiForums Tanzania Rombo kiboko ya CCM/ pesa mbili Mramba

    Picha zinsonyesha mkutano unawatu wasiozidi 20 Rombo ina watu zaidi ya laki 8. Hiyo ni ratio ndogo saaana sio ya kupigia kelele kuwa umevunja ngome.
  2. I

    JamiiForums Tanzania CCM waleta vurugu kwenye Kongamano la taasisi ya Mwl/Nyerere, Makonda ahusishwa kumpiga Warioba

    Sasa hii inakuwa sinto fahamu. Mara makonda kampiga warioba, mara kaandaa vijana wampige warioba! Ninachokiona hapa unapokuwa mwiba kwa bavicha na wanaukawa basi inakuwa shida kwel kwel. Labda nishauri tu kwamba mambo ya kuchafuana pasipo na ushahidi ni mbaya sana. Hukawii kusikia nape naye...
  3. I

    JamiiForums Tanzania CCM waleta vurugu kwenye Kongamano la taasisi ya Mwl/Nyerere, Makonda ahusishwa kumpiga Warioba

    Mod toa huo uchafu hapo juu unaleta uchochezu.
  4. I

    JamiiForums Tanzania UKAWA wazingatie kwamba kinara wa upatikanaji wa katiba mpya ni CUF na siyo CHADEMA

    Sisi tulijua kabisa kwamba kitakacho iua ukawa ni pesa. Na mapema tumeona. Likiendelea hivi hawatachukuwa muda ukizingatia kuwa ndoa yenyewe ni ya ghafla ambayo nauhakika haipo katka katiba ya chama chochote mwanachama wa ukawa.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Tanzia: CCM yampoteza Katibu wa UVCCM Arumeru Mashariki katika ajali

    Dada yangu lucy nakuombea ulale salama.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Tanzia: CCM yampoteza Katibu wa UVCCM Arumeru Mashariki katika ajali

    Eee mungu kazi yako haina makosa. Mtumishi wako lucy kamaliza muda wake. Uwasamehe wote wanao kebehi kazi yako.Ameeeen
  7. I

    JamiiForums Tanzania Maazimio CC ya CHADEMA: Tutawaandaa Watanzania kutimiza wajibu wa kihistoria

    Safari hii chadema hakuna jipya hapo. Mlitimka wenyewe bungeni sasa mnafikiri wananchi wanawasikia tena uongo mnao utengeneza? Mngekaa bungeni mtuambie hayo yametokea tungewasikiliza. Sasa uwanjani haupo halafu unashangilia goli wapi na wapi!!
  8. I

    JamiiForums Tanzania Hii ya kutomtaja Mzee Warioba katika Makabidhiano ya Katiba imenisikitisha sana

    Huyu mzee alifanya kazi nzuri na muda wake uliisha. Tatizo ni pale alipoanza kuingilia shughuli za wengine kukosoa na kuendesha kampeni za chinichini na za wazi kupinga kinachoendelea kwa hatu ambayo yeye sio mjumbe. Sasa hapo ndio heshima ilipo poromoka na wenzake wakamuona wa kazi gani.
  9. I

    JamiiForums Tanzania NYARAKA: Katiba Inayopendekezwa Oktoba, 2014 (Tanzania's Proposed Constitution)

    Wale jamaa wa upande mwingine walidhani wakisusa basi hakuna katiba itayotengenezwa. Lkn ni jambo la heri leo hii tuna katiba iliyo pendekezwa na ni nzuri kwa ssbabu imeshika kila mahali. Ni jambo la kushangaza pale mwana siasa anaposimama na mishipa kumtoka akisema eti usawa wa kijinsia yaani...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mrisho Mpoto havai viatu?

    Anadumisha mila ile wengine wameshindwa
  11. I

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Mheshimiwa Mbowe yupo Africa ya Kusini?

    Inakuwaje kamanda unatangaza vita halafu unaweka silaha kwapani huku wafuasi wakila mitama ya hapa na pale?
  12. I

    JamiiForums Tanzania Laiti wapinzani wote Wangekuwa na akili katika level ya maandamano na matamko

    Betlehem. Umeleta maada safi ktk wakati muafaka. Kiukweli zile zilikuwa mbwembwe za uchaguzi tu kuonekana kuwa yeye ndio m/kiti wa chama. Haiingii akilini kuanzisha move then unaenda kula raha mahali hslafu unasikilizia maumivu ya wengine. Haya matamko na mipango isiyo tekelezeka ni kukitia aibu...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Uongo Mtakatifu Kwenye Upigaji Kura za Wazi Kwenye BMK!. Hakuna Yeyote Aliyetumwa na Mtu!.

    Hicho komemo umeandika mwenyewe. Kwi kwii kwiii
  14. I

    JamiiForums Tanzania hongera Jaja wa yangu kwa kupigwa na mtibwa 2 kwa 0

    Mh! wanasema saana wale wa upande ule!
  15. I

    JamiiForums Tanzania Julieth Rushuli aenguliwa BAVICHA

    Kwani huyu julieth anatokea kilimanjaro,arusha au manyara? Kama sio basi alikurupuka masiikiniii.
Back
Top Bottom