Recent content by ibrahim kichere

  1. I

    Ccm ina kesi ya kujibu 2015

    pole yao maccm,pa1 na wale `misukule' wanaosapoti uovu wao iwe ni kwa kujua au kwa kutokujua- hukumu ni yao! Kheri yao wanaojitenga mbali nao na udhalimu wao.
  2. I

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mara ang'olewa. Mbowe aendesha kikao cha kumng'oa

    Mkuu uzalendo wako ndani ya cdm ni wa kutiliwa shaka endapo unashabikia viongozi wa chama hata pale `wanapojivua nguo hadharani' wanapokichafua chama kwa vitendo vya kipuuzi mfano kupigana kikaoni. NAIPENDA CDM IKIWA THABITI CHINI YA VIONGOZI MAKINI
  3. I

    Operesheni Kimbunga yazoa mawaziri

    ccm imechoka-ni majanga! mipango na operation zao zote ni majanga. `operation kimbunga' imeishia kwa ukiukaji mkubwa wa misingi ya haki za binadamu, kuwafilisi watu na hata kuhamisha raia wa watanzania kwenda Rwanda eti nao ni wahamiaji haramu. majanga! `operation tokomeza ujangili'...
  4. I

    Siipendi CHADEMA

    Chadema haiko hivyo. Members wake wote walijiunga/wanajiunga b'coz of their awareness, na mapenzi yao ya dhati kwa taifa na siyo kwa kushawishiwa kwa njia ya sms kama unavyodai ww great kilaza wa ccm. Ni waz kuwa unatetea posho ila kwa maneno yako unaonesha ni kiasi gani umefulia na nd'o...
  5. I

    Hivi kweli inawezekana mkutano wa Jangwani kutumia 700,000,000miln

    acha kuandika habari usiyoijua kwani kwa kufanya hivyo ni sawa na kujivua nguo hadharani! AIBU YAKO HII HAPA: 700,000,000miln. POLE SANA. HII ND'O KAZI YA CCM KUZALISHA VILAZA NA MISUKULE WA KUITUMIKIA BILA KU-REASON.
  6. I

    Ningekuwa M/Kiti wa CCM na Rais wa Nchi, hawa hapa wangekuwa jela kwa kuvuruga amani

    wengine ambao jela ni stahili yao ni: mizengo pita pinda kwa kuvunja katiba ya jmt kwa kuwabariki polis kutembeza mkong'oto kwa raia. jakaya mrisho kikwete kwa kosa kusababisha mauaji ya raia mtwara na kisha kuagiza polis na jwtz kupipga,kujeruhi, kutesa na hata kuua raia bila sababu hali...
  7. I

    Kwa Wahanga Wote Wa Mikopo, CALL FOR MAANDAMANO BUNGENI DODOMA OCTOBER29

    Poleni Sana ndugu zangu 1st year. Huu ni uonevu wa hali ya juu. Niko nanyi kwa maombi Mungu afanye kitu kwa ajili yenu.
  8. I

    Sheria ya Mabadiliko ya Katiba: Kuna Mgongano wa Kimaslahi ama ni Maslahi ya Umma Yanalindwa?

    Mimi nakuuliza wewe Kigwangalla,mdau mkubwa wa jambo hili kwa maana ya MP kuwa ; Ni kweli kilichowafanya ninyi wabunge wa ccm kupuuza hoja za Lissu na pia kuwanyima wabunge wengine wa kambi ya upinzani waliokuwa na hoja nzito zilizoainisha mapungufu na kasoro zote za muswada (ambao sasa...
  9. I

    Maadui wakubwa wa watanzania na tanzania wanayoitaka hawa hapa

    You are correct. So let's unite and fight together against our common foes (maccm )so that we and the coming generations can live better life. This is our duty! PLAY YOUR PART!
  10. I

    Tusichokijua kuhusu janga lililomsibu Ufoo Saro

    Hapa Umepatia Mkuu! Hawa Watu Wana Makosa Mengi Tena Makubwa Kwa Taifa Hili Tukufu Kama Ifuatavyo: Kuwa Na Mapenzi Ya Dhati Kwa Nchi Hii Na Watu Wake. Kukosa Ubinafsi Na Ubaguzi Kwa Misingi Ya Udini, Ukabila na Ukanda. Kukosa Uchu Wa Pesa Na Madaraka. Kulipigania Taifa Hili Na...
  11. I

    Maadui wakubwa wa watanzania na tanzania wanayoitaka hawa hapa

    Hakika wewe ni `msukule wa kijani' aliyechoka kifikra. Hivi wewe na `umento' wako huo unadhani kuwa effects za bangi ni mbaya zaidi kuliko `unga' unaobugia mpaka `unakomenti' upuuzi wako bila kukosoa/kupinga kilichoandikwa kwa hoja yakinifu? Bila Shaka Wewe Utakuwa Umevurugwa
  12. I

    Maadui wakubwa wa watanzania na tanzania wanayoitaka hawa hapa

    Siku tukiuvaa ujasiri, tutamkabiri adui yetu (serikali dhalimu ya mafisadi) na kuwaonjesha machungu tunayoyapitia kwa takribani karne moja sasa huku wenyewe wakila na kusaza share yetu. Naam tukichukua hatua kwa vitendo, hawa watawala wetu dhalimu (maccm), watashika adabu yao na kukoma...
  13. I

    Maadui wakubwa wa watanzania na tanzania wanayoitaka hawa hapa

    somo zuri sana kamanda. Big up!
  14. I

    Maadui wakubwa wa watanzania na tanzania wanayoitaka hawa hapa

    kama kweli umetoka kapa bila kung'amua japo point moja, basi utambue kuwa wewe ni big kilaza (b.k)! Note:jf is the home of great thinkers.
  15. I

    Sheria ya Mabadiliko ya Katiba: Kuna Mgongano wa Kimaslahi ama ni Maslahi ya Umma Yanalindwa?

    Katiba siyo sheria; katiba ni zaidi ya sheria,ni mama wa sheria. Pote penye demokrasia (rule of the people),katiba inabaki kuwa mali ya umma na lazima iwe na matakwa/maoni ya umma wa tanzania. Na kama ni hivyo kwa nini maoni ya wazanzibar yaachwe nje ya katiba inayoitwa ya watu wa JMT. Je...
Back
Top Bottom