Kikweli lowasa anafaa kwakuwa ni MTU mfuatikuaji,kikuchomgharimu jakaya ni kule kukubali kuachiangazi kwa lowasa na hii c kwa 7bu ya Richmond,in makundi ya urais yalilipanga hilo.kama atacmamia vizuri na ninaamini anaweza,watapata za kwao za kuchota na nchi itaendelea,hatujampata kiongozi Wa...