Recent content by ibange

  1. I

    JamiiForums Tanzania Spencer Lameck Leo Kutupa Raha ITV Habari

    Mtupieni Tigo pesa No. 0719583949
  2. I

    JamiiForums Tanzania MkikiMkiki; Mdahalo wa uchumi kwa vyama vya siasa unaoneshwa Star TV 27Sept 2015

    Kwa miwani ya ccm ilitazamiwa kusema hivyo. Ila kwa wengine neutral ukawa wamefunika mbaya. Hakuna mtu aliyechambua sera kwa lugha nyepesi kama ukawa
  3. I

    JamiiForums Tanzania Willibrod Slaa amkacha Tido Mhando

    umenifurahisha sana hilo la padre mzinifu. Hawa ndio wanaharibu taswira ya kanisa katoliki. Alizaa mwaka 1985 wakati upadre aliacha mwaka 1992
  4. I

    JamiiForums Tanzania Tathmini inaonyesha UKAWA itashinda Urais

    Kwa tathmini yakinifu, mwaka 1995 upinzani uligawanyika sana na hukuwa na mipango yeyote ya maana. Hata hivyo upinzani ulipata kura za urais asilimia 40%. Mwaka 2010 upinzani pia ulikuwa dhaifu na hawakuwa wamejipanga vema. Hii kasi ya CHADEMA mnayoiona imeanza baada ya uchaguzi wa 2010. Hata...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Mulongo: Mbowe ana tamaa ya fedha. Amehongwa kumkaribisha fisadi ndani ya CHADEMA

    Ni maneno ya kipuuzi
  6. I

    JamiiForums Tanzania WanaCCM, na wafuasi wa Lowassa, mamilioni kuhamia CHADEMA wiki ijayo

    Jana ZZK alinukuliwa akisema wiki ijayo kuna jambo linaenda kutokea ambalo litabadili kabisa siasa za Tanzania. Tukae mkao wa kula
  7. I

    JamiiForums Tanzania Dalili za Lowassa na Kingunge kutimukia UKAWA hizi hapa

    Toa maoni yako na piga kura yako. Je, mpango wa Lowassa kujiunga na jeshi la ukombozi kutaimarisha zaidi upinzani?
  8. I

    JamiiForums Tanzania Makonda: Zitto ndiye mwanasiasa makini kwa upinzani

    Alianza kumjua ZZk lini? Mbona kabla ya usaliti hakusema hivyo?
  9. I

    JamiiForums Tanzania Updates: Mkutano mkubwa wa Dr. Wilbroad Slaa Tanganyika Packers DSM

    Wewe vipi uwanja ulijaa full wewe unasema umedoda?
  10. I

    JamiiForums Tanzania GE2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

    Yanaweza kusemwa mengi ila lililo dhahiri ni kuwa CCM hawana uwezo wa kuchukua political risk kubwa hivi. Lowassa ni kama kidonda cha mguu, uukate mguu upate kilema cha maisha au uutibie? Wakichukua njia ya kukata mguu uchaguzi mtaupoteza na hapo ndio mwisho wa ccm
  11. I

    JamiiForums Tanzania GE2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

    Wandugu, Kila mmoja ameshuhudia jinsi Mh Lowassa alivyotikisa nchi. Watu wenye mawazo madogo wanasema jamaa anatumia pesa. Jiulize huyo jamaa ana trillion ngapi? Ukweli nyota yake imeng!aa na anakubalika na zaidi ya 60% ya wana CCM. Kama CCM wana ubavu basi wakate jina lake. Ataondoka na...
  12. I

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuja na amsha Wanawake Tanzania, jumapili hii Kawe

    Hongereni sana makamanda
  13. I

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe awa gumzo Tabora, amfunika Lowassa

    Wastage of effort
  14. I

    JamiiForums Tanzania Pinda kutangaza nia kesho live kupitia ITV

    Mpuuze Pinda at your peril
  15. I

    JamiiForums Tanzania January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo

    unataka ushahidi wa aina gani? Muulize kama hajafutiwa matokeo. Muulize kama alikata rufaa kama alionewa maana baba yake alikuwa mkuu wa mkoa asingeweza kukubali mwanae aonewe. Muulize waliokatiwa matokeo walikuwa wangapi? Maana ingekuwa darasa zima sawa lakini alikuwa yeye peke yake
Back
Top Bottom