bwana wee waganga wapo. mimi nilkuwa siamini haya mambo. Dah Tanga nikiboko aisee. kuna mwamba alikuwa kampuni flani siwajua vijana akapiga hela ili alebata na kuvimba mjini. Jamaa wakashutka mchezo wakamla barua ya kufukuzwa kazi. Jamaa anajamaa ake Kushoto akamwambia njoo na hiyo barua...
Dah ngoja niwape visa niilyokutana navyo.
1. 2014 mwezi kama huu nilkutana na malaya mmoja mkalii balaa hapo Ambiance sinza. ila alikuwa kule nyuma kama unaenda central . nikambeba ila alikuwa na aibu balaa. tumeingia chumbani maskini akafunguka kuwa yeye ni mara ya kwanza kuja anatfata pesa ya...
unachosema nikweli kabisa kuna hiki chuo cha uongozi wa mahakama lushoto ni shida kwakweli vitoto vidogo yaani hayo mavazi sasa si wavulana si vibinti . wavulana wanavuta bangi pombe hadi unganadhani yaani wengine ukiwaangalia masikini wapo kama mateja. hadi juzi kuna mmama kaja kumuona mwanae...
mazoezi nayaheshimu sana performance ilkuwa ovyo ila toka nianze squats pushaps na mengine mepes mepesi dah yaani napiga mashine mpaka najishangaa afu sichoki
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
hivi wanaposema moroco to score 1or 2 goals . wakaweka Yes na No. swali langu ambalo napenda kuelimishwa. ikatokea moroco kapata goli moja namimi nilchagua Yes je hapo ntakuwa nimemla kanji ?
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
dah we upo kama mimi. yaani mimi sina tabia ya kuwapigia watu cm. mpaka ndugu wanasema dah. ila mara moja moja sana ila wakipiga cm kama kuna changamoto natatua.
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
ninacho ona hapa watu wanaogopa mawaidha ya baada ya adhana ya asubuhi kisa ni waovu sasa yale maneno yanawachoma. na waovu wanaogopa kifo balaaa
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.