Recent content by ian Suleiman

  1. I

    Huyu kijana hakuwaacha wazazi wake ambao ni vikongwe nyuma

    ivi yesu ndio huwa anapeleka watu mbinguni?
  2. I

    Baada ya Google na Facebook kuachana na Huawei, Microsoft na ARM zafuata,

    Watu wanafikiri Mchina ni kama amelala, Jamaa wapo maabara wanafanya yao
  3. I

    Mambo 6 Duniani yaliyotokea kwa namna ya kuacha Mdomo wazi

    kweli mkuu mimi nipo hivyo. Zamani nilikua naweza kupita sehem ambayo cjawahi kufika ila cha ajabu nakuta mazingira ambayo kumbukumbu zinaniambia hio sehem nishapita au kuishi ila nakosa majibu ni lini au wapi
  4. I

    Wakenya tushukuru Mungu kwa demokrasia yetu, watani wetu wamebanwa hadi wanalia toshaaa, wanakiri kwamba nchi yao sasa imekuwa 'Police State'

    ni kweli kabisa Tanzania inapitia wakati mgumu sana katika historia ya taifa lefu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. I

    Nyerere alimkosea nini Mungu?

    Ukiulizwa Mandela aliifanyia nini Afrika....cjui kama unaweza kujaza ukurasa mmoja. Sasa uliza J.k. Nyerere aliifanyia nini Afrika Sent using Jamii Forums mobile app
  6. I

    Benjamin Netanyahu asema Nchi yake ina makonbora yanayoweza kupiga nchi yoyote ya Mashariki ya Kati

    Mkuu unafikiri Iran ni km Iraq.? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom