Recent content by Iamwhoiamm

  1. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Samia ametufutia laana ya kichwa cha mwendawazimu kwenye michezo

    Ivi pale gerezani kkoo,mnazi mmoja ni academy au sport centre tu?
  2. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

    Yap TATIZO wanawake wengi wanahisi ishu ni pesa tu kwenye mapenzi kumbe Kuna wajibu wake kama mwanamke inabidi afanye sio Kila kitu msichana wa kazi mtu MWINGINE anakuacha tu yaan
  3. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

    TATIZO siku izi hamna SUBMISSIVE WOMAN ANAWEZA AKAWA NA ELA NA WEWE PIA UNA ELA ,ILA MWISHO WA SIKU WHAT IS SHE BRINGING TO THE TABLE!!!?IS SHE CARING FOR YOU,IS SHE COOKING FOOD FOR YOU ,IS SHE RESPONSIBLE FOR MAKING SURE EVERYTHING IS GOING WELL IN THE HOUSE EVEN IF SHE IS BUSY AT LEAST ONCE A...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

    Sema wewe si mwanamke lazima mwanaume rijali atakutaka kimapenzi.binafsi Mimi sinaga mazoea na wanawake ovyo na sipendagi urafiki na mwanamke ni Bora tusalimiane tu lakini eti ah urafiki big NO ila nikimzoea mwanamke Hadi niwe na HISIA naye za kimapenzi
  5. I

    JamiiForums Tanzania Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

    Useme ukweli tu kwamba HAUNA HISIA naye za kimapenzi sio una mheshimu maana ata Wanawake walioolewa wanaheshimu waume zao
  6. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Feisal Salum Hawezi Kurudi Kwenye Ubora Wake Tena.

    Mimi kanifurahisha novatus dismas kiraka kaitendea haki full back ya kushoto ila fei toto alichelewa kuingia ground naamini Yuko fit Bado kama game ijayo ataanza mudatiri anakaa sana na mpira sehemu yakutoa pasi atoi
  7. I

    JamiiForums Tanzania Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

    Anayo haki ya kukasirika lakini sio kukulazimisha kufanya mapenzi it means wewe HAUNA HISIA naye za kimapenzi unataka awe rafiki yako tu ,hapo ndio TATIZO linapoaanzia ila kama una HISIA naye inabidi umueleweshe jinsi mahusiano yenu unavyotaka yawe
  8. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Uganda 0-1 Tanzania: Kufuzu Afcon 2023 group E

    ZBC2
  9. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Uganda 0-1 Tanzania: Kufuzu Afcon 2023 group E

    ZBC2
  10. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta eneo/frame ya kuweka biashara ya duka la dawa muhimu (DLMDM) Dar es Salaam (Kigamboni)

    KABLA ya kutafuta location inabid uangalie eneo husika linaruhusiwa Kwa DLDM Kwa kigamboni ,nakushauri uende Kwa mfamasia wa wilaya ya kigamboni ili akuonyeshe location zinazostahili KUFUNGUA biashara husika then ndio uendelee na utaratibu wa kutafuta frame
  11. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wakuu

    USIWE simp mkuu kuwa bad boy na uwe na power of ignorance pia
  12. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemla shemeji mke wa kaka yangu baada ya kaka kwenda London

    Chai ya moto hiii dahh
  13. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza, ngono inazeesha?

    Ndio inazeesha unakuta binti miaka 20 chuchu zishakuwa kama ndala yaan dah
Back
Top Bottom