Recent content by IamChasulwa

  1. IamChasulwa

    JamiiForums Tanzania Filamu/tamthiliya za bongo na walinzi wasio na akili timamu

    Na nadhani ni kwakuwa ni main C
  2. IamChasulwa

    JamiiForums Tanzania Filamu/tamthiliya za bongo na walinzi wasio na akili timamu

    Na kujilisha upepo 😁😁
  3. IamChasulwa

    JamiiForums Tanzania Filamu/tamthiliya za bongo na walinzi wasio na akili timamu

    Wapenzi wa bongo movie Binafsi nakerwa na tabia za waigizaji wa bongo movie kuwatengeneza walinzi (gatekeeper) kuwa wasio na akili timilifu. Huwa nawaza mlinzi na umuhimu wake sasa iwaje awe hana utimamu japo najua ni uigizaji lakini namna unavyotengeneza wahusika ndivyo filamu/ tamthiliya...
  4. IamChasulwa

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kundi la Meditation ya Kina

    Unaposema meditation ili angalau mtu awe amefanya nini kinazingatiwa?
  5. IamChasulwa

    JamiiForums Tanzania Ikonda Hospital vs Hospital ya Rufaa (Zonal) Mbeya

    Haya bana
  6. IamChasulwa

    JamiiForums Tanzania Ikonda Hospital vs Hospital ya Rufaa (Zonal) Mbeya

    N Ndio hiyo Kuna ndugu amesema kwa sasa wako vibaya sababu wana-ubia na serikali ety
  7. IamChasulwa

    JamiiForums Tanzania Ikonda Hospital vs Hospital ya Rufaa (Zonal) Mbeya

    Warudishe TITLE yao waondoe huo ubia utaua soko lao
  8. IamChasulwa

    JamiiForums Tanzania Ikonda Hospital vs Hospital ya Rufaa (Zonal) Mbeya

    Huduma mbovu kwenye eneo lipi? Mapokezi? Utaratibu wa kuwaona wahudumu?
  9. IamChasulwa

    JamiiForums Tanzania Ikonda Hospital vs Hospital ya Rufaa (Zonal) Mbeya

    IKONDA HOSPITAL VS HOSPITAL YA RUFAA (ZONAL) MBEYA Habari ya wakati huu watubwa Mungu!! Ni tumaini langu mko poa sana. Naleta uzii huu kuuliza juu ya nini kinafanya hospitali hizi zinazopatika nyanda za juu kusini. Ikonda kwa jina maaru ila inaitwa CONSOLATA HOSPITAL IKONDA,ipo huko mkoani...
  10. IamChasulwa

    JamiiForums Tanzania Mtoto halali au sio halali

    Mtaa gani huo
  11. IamChasulwa

    JamiiForums Tanzania Mtoto halali au sio halali

    Sio mimi ata japo ni story ya kweli
  12. IamChasulwa

    JamiiForums Tanzania Mtoto halali au sio halali

    Soon unakujia
  13. IamChasulwa

    JamiiForums Tanzania Mtoto halali au sio halali

    Pole soon utaona mwendelezo wake
  14. IamChasulwa

    JamiiForums Tanzania Mtoto halali au sio halali

    Siku moja alimwita ofisi ya wa dawati la ustawi wa jamii kwa kumwambia kuwa anataka kuandikisha mali zote kwa jina lake na watoto. Baasi ilkuwa furaha tele kwa mwanamama. Alivyofika aliingia ndani,badaa ya kuingia alimkuta mtu aliyemfahamu si mwingine ni yule anayemtumiaga picha na taarifa za...
Back
Top Bottom