Recent content by Iamabdulkareem

  1. Iamabdulkareem

    Fani zenye ajira kwa sasa, vijana someeni fani hizi

    hatari sana.. for sure kwa dar asilimia 50 mpaka 70 wanaingia kwenye hizo ambazo umezitaja
  2. Iamabdulkareem

    Hivi nyie mnaopenda chura mpo serious kweli au ndio changamsha kijiwe? Ukweli huu hapa

    Vile unavoshangaa wewe juu ya wanaume wanaopenda tentemete kitu chura..kuna wengine tunakushangaa wewe kupenda viswaswadu. Ila yote utukufu wa mungu ndipo unapoonekana kila mtu ana vle anavovipenda. Ila achana kabsa na wezele ndugu yngu hasa lile wezele linalojiweza sio gogo unaweza hisi ww ndo...
  3. Iamabdulkareem

    Hivi kuna mtu anapitia haya mambo kwenye suala zima la mahusiano au mimi tu?

    Unaonekana kipindi unakuwa single moyo wako na akili yako inakuwa na pupa sana katika kuwa na mtu; hivo yeyote yule anaekuja mbele yako moyo na akili yako vnakuwa separated ktk kufanya maamuzi sahihi ya kuwa nae na unajikuta unaingia ktk mahisiano na mtu usiemtegemea, hivo unajikuta unashindwa...
  4. Iamabdulkareem

    Soko la mziki limekuwa la ushindani, wapi linapoelekea

    Kwahili nakubaliana na wewe mkuu kwa asilimia zote. Ukipitia youtube huko unaweza kita nyimbo ni kali sana kutoka kwa underground au wasanii wa kawaida tu yenye views chache. mimi naona Mbali na underground kujitahid kuomba collabo kwa wasanii wakubwa vlevle naona media zijitahidi kupiga jicho...
  5. Iamabdulkareem

    Soko la mziki limekuwa la ushindani, wapi linapoelekea

    Yah ushindani ni muhimu ktk sekta ya mziki ili sanaa ikie ila sisi mashabiki naona tuna tatizo kubwa la kubagua wasanii wakuwasikiliza.. je hili unalizungumziaje ktk kukua kwa mziki
  6. Iamabdulkareem

    Soko la mziki limekuwa la ushindani, wapi linapoelekea

    Yah hili linaharibu pia mziki wa bongo fleva kwasababu wengi wetu tumekuwa watu wa kuwasikiliza baadhi ya wanamuziki. Mashabiki tumekuwa wa kuwasikiliza baadhi ya wasanii tu
  7. Iamabdulkareem

    Soko la mziki limekuwa la ushindani, wapi linapoelekea

    Acha niandike lile ambalo nimeliona kwa hizi siku za karibuni, si mzuri sana katika uandishi hivo kwenye makosa mtanisamehe. Awali ya yote heshima yenu wakuu natumai siku imeanza vizuri kwa wengi na wale wenye matatizo Mungu awabariki wapate unafuu kwenye matatizo yao. Acha niende kwenye point...
  8. Iamabdulkareem

    Aslay x Alikiba

    Hahaaa watu wanaponda kweli nyimbo. Ila wengi wanaoponda nyimb hii ni wale mashabiki wa msanii na sio mashabiki wa mziki. Mara nyingi kwenye simu yangu huwa nyimbo nikiipenda naidownload ndo maana mpaka leo na nyimbo nyingi za kiba pamoja na diamond, nyimbo hii ni nzuri sana ukiwa mshabiki wa...
  9. Iamabdulkareem

    Fid Q nani kakuloga? Umeanza kurithi ujinga na Chuki za Ali Kiba dhidi ya wasanii wenzake! Walichokifanya msibani ni kitendo cha kijinga na kishamba!

    Nadhani tatizo lilianzia kwa harmonize kwa jinsi alivoingia msibani na crew ya kutosha. Ulinzi ni jambo la muhimu ila mimi ningeshauri watu WCB wangetakiwa kupunguza crew kubwa hasa ya mabodygurd waendapo kwenye hafla za misiba. Ingependeza zaid angekuwa angalau na mlinzi mmoja alafu angewahi...
  10. Iamabdulkareem

    Kwa hiki nilichokifanya kwa mke wangu niko sahihi au nimekosea?

    Hahaa inabidi umtie mimba nyingine kabsa umuongezee majukumu yanayomfaa. Ukitaka kusolve tatizo anzia kwenye mzizi wa tatizo..hahaaa
  11. Iamabdulkareem

    Msaada wa Mawazo wanabodi nimedsco chuo.

    Pole sana... ulikuwa unasoma kozi gani iliyopelekea hivo. Suala hilo ni jambo la kawaida kwa maisha ya kusoma ila suala la kuappeal na kuchomoka inategemea na kozi uliyokuwa unasoma. Appliction ndo zinaishia hivo unaweza kufanya process na kuwahi kuomba tena.
  12. Iamabdulkareem

    kwa wale wa UDSM (Single Admission), kuna wanao kutana hii message "You have REJECTED this admission offer"

    Naomba kuuliza hivi hata wale walioomba single university nao wanahitajika kukonfirm kwa udsm??
  13. Iamabdulkareem

    University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Naomba kuuliza walioomba udsm tayari washapata kuona majibu yao? Maana ktk account yngu hamna taarifa yeyote zaidi ya kuambiwa my account has technical error
  14. Iamabdulkareem

    Jinsi ya 'kumroga' bosi aliye jinsia tofauti na wewe

    Ujiandae kutafunwa na bosi wako kwa style hiyo. Yani kila baada ya kazi upendelee kukaa nae unatafuta kitu gani kama si kutafunwa humohumo offsini.
  15. Iamabdulkareem

    Ningekuambia ukweli ungenikubali ?

    Ukitaka uwe single au usikule watoto wakali basi jifanye mlokole wa kuwa mkweli kwenye kila kitu kwa hawa wadada wakileo. Sometime mwanaume inabd ujifanye hata unafanya kazi BOT ili utimize lako.. maana dada zetu wamegoma kabsa kukubaliana na wasema ukweli kwenye mahusiano.
Back
Top Bottom