Habari wana Jamii Forum. Naitwa Daudy napatikana Arusha najihusisha na ufundi umeme wa magari, lolote linalosumbua kwenye gari yako kwa upande wa umeme wasiliana nami kupitia namba:
+255767944367 karibuni.
Hello Jamii Forum. My name is Daudy and I am based in Arusha. I am involved in...
Habari wana Jamii Forum,
Natumaini mu wazima wa afya nyote na mnaendelea na shughuli za kila siku.
Nimeleta mada hapa jukwaani tujadili kidogo kuhusiana na BIASHARA YA NAFAKA KAMA MCHELE, KARANGA, MAHARAGWE, MAHINDI kwa jumla na rejareja.
Biashara hii ipo sana akilini mwangu kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.