Mwenzio akianza kuwekeza wewe unakuja kusapoti nini? Naunga mkono kauli yako kwani wengi hujifanya hawaoni juhudi za watu wengine, lakini ukisha fanikisha basi hao, wanamiminika. ninawashangaa sana watu wa benki, ukiwa na juhudi za kuanza kuwekeza wanakaa mbali, ukianza wanakuja kutaka kutoa...