Recent content by hutakiacha

  1. hutakiacha

    Magereza wamwaga ajira

    Wewe mwenyewe hata bei ya chumvi huijui unakejeri kazi za watu
  2. hutakiacha

    Haya mazoezi ya ndege za Kijeshi mjini (Dar) yanatia shaka kipindi hiki!

    Acha ulongo kijana, ukweli ni huu trh 1/9/2015 anaagwa amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama hivyo basi vikosi mbalimbali vipo kwenye mazoezi ya siku husika.
  3. hutakiacha

    Ushauri: Mke wangu ana maneno, akianza kuongea hamalizi

    Kwa haraka nmejikuta nasema kwa sauti huyo mke asili yake utakuwa mikoa ya pwani,wanajali leo kuliko kesho.
Back
Top Bottom