Recent content by hutaki acha

  1. H

    Muonekano wa standard gauge kutoka Dar mpaka Morogoro

    Ni kweli hizi si picha za sgr ya tanzania maana daraja letu la juu bado halijafika iyo stage pia daraja letu la juu limepita sana mjini hapo ni kama kwenye mbuga
  2. H

    Muonekano wa standard gauge kutoka Dar mpaka Morogoro

    Hata kama ni pension ya wafanyakazi bora imejengea sgr kuliko mahela kukaa tu huko huku wajanja wakiyaiba
  3. H

    Tofuti kati ya Toyota Harrier na Lexus RX

    Esp. kwenye siti cover lexus RX karibia zote unakuta ni leather huku ukija kwa harrier ni kitambaa
  4. H

    Natafuta mchumba

    Me
  5. H

    Natafuta mchumba

    Mimi ni mwanaume wa miaka 30 ninaishi Dar, mweusi mrefu mwenye mwili kidogo natafuta mpenzi mwanamke mzuri anaye ishi Dar ambaye yuko serious anatafuta mpenzi kama mimi,mwenye kazi pia mwenye umri kuanzia 30 kushuka chini ambaye yuko serious na una vigezo vyo hapo juu njoo PM
Back
Top Bottom