Recent content by Hustler_

  1. Hustler_

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri biashara ya uwakala(M-PESA, tiGO Pesa nk)

    Habari zenu wana jamvi, Mimi naishi Dar es salaam lakini nataka kufungua vibanda viwili vya uwakala niwe na yas, Airtel money na mpesa kwasababu wilayani kwetu mwanza mtaani Kuna uhaba sana Lengo langu niwe na vibanda viwili wilaya nzima maeneo tofauti tofauti na mimi nikiwa huku huku Dar...
  2. Hustler_

    JamiiForums Tanzania Jinsi Nilivyogundua Njia Rahisi ya Kuongeza Followers na Traffic kwenye mitandao ya kijamii

    Ndugu zangu wa Jamii Forums, Nimekuwa nikisoma mengi humu, na leo nimeona ni vizuri nami nichangie kitu ambacho kimenisaidia sana — na naamini pia kinaweza kuwasaidia mkiamua kuchukua hatua. Nilikuwa napambana kupata followers Instagram, Twitter, YouTube subscribers, lakini ilikuwa ngumu —...
  3. Hustler_

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kununua Hisa za makampuni ya nje ya nchi?

    Uliwezaje kupata account
  4. Hustler_

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kununua Hisa za makampuni ya nje ya nchi?

    Wewe Unatumia fidelity
  5. Hustler_

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kununua Hisa za makampuni ya nje ya nchi?

    Inawezekana Sana Ila mm natumia hawa IBKR brokers
  6. Hustler_

    JamiiForums Tanzania Fursa ya udereva kwa wakazi waliopo Kenya

    Habari wana ndugu, natumaini mpo salama kabisa na Bwana anazidi kuwabariki katika shughuli zenu za maisha ya kila siku. Kuna ndugu yangu ana magari mawili, moja ni Hiace na nyingine ni Tata (coaster) na anatafuta madereva wawili wa kuendesha hayo magari na yanapatikana Nairobi yote Kuna nafasi...
  7. Hustler_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya udereva kwa watu wawili waliopo Kenya

    Habari wana ndugu, natumaini mpo salama kabisa na Bwana anazidi kuwabariki katika shughuli zenu za maisha ya kila siku. Kuna ndugu yangu ana magari mawili, moja ni Hiace na nyingine ni Tata (coaster) na anatafuta madereva wawili wa kuendesha hayo magari na yanapatikana Nairobi yote Kuna nafasi...
  8. Hustler_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madomo zege njooni tupeane madini namna ya kutongoza mwanamke mgumu

    Iwapo mwanamke anaonyesha dalili za kukutongoza ambazo umependezwa nazo, haitakua jambo zuri kwako kama utapuuza swala hili kwa kufanya matendo yasiyotakikana. Baadhi ya wanaume wengine wanaweza kudai kuwa wanawake ambao wanatongoza waume hawafai kukubalika kwani si kawaida. Well, jibu ni kuwa...
  9. Hustler_

    JamiiForums Tanzania Namanage Account za Forex

    Huyo jamaa kweli amekufa ??
  10. Hustler_

    JamiiForums Tanzania Nakuja Dar kutafuta maisha, nimechoka kukaa nyumbani

    Asante sana kwa ushauri wako kaka
  11. Hustler_

    JamiiForums Tanzania Nakuja Dar kutafuta maisha, nimechoka kukaa nyumbani

    Nije unipe kibarua kaka
  12. Hustler_

    JamiiForums Tanzania Nakuja Dar kutafuta maisha, nimechoka kukaa nyumbani

    Wewe upo Dar nije unishike mkono kaka
  13. Hustler_

    JamiiForums Tanzania Nakuja Dar kutafuta maisha, nimechoka kukaa nyumbani

    Kuliwa aje yani kuibiwa
Back
Top Bottom