Recent content by Husband seeker

  1. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mfanyakazi (msaidizi wa nyumbani) ana busara kuliko mke wangu

    Naukifika kama 50 RIP hawadumugi na wazee uzeeni na jaribu kumuambia tu mkeo jambo moja zuri. Mke wangu tofautisha kazi na home mimi nipo home na watoto sio sawa na shuleni huko unawagombeza vitoto vya secondary. Watoto wa secondary ni wakubwalicha hao waprimary. Inshort mtofautishie watoto...
  2. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau wa JF

    Nyie ndio nilikuwa napenda mfahamu na mchumba sio hata mume tena mzungu sio weupe wenu naujue hili sikuwa najiamini kwa maana humu nimeblokiwa mtasema mengi ila situmi picha msiniloge
  3. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau wa JF

    Wazungu wanataka mtu kichwani anajielewa so mbali na hapi witnesi utatukana sana mpaka uchoke mimi nimeshafundwa najielewa nimwanamke ambaye na staa Nanimeanza kuvumilia kama haya mimi ninafurahi sana nikiwa na mtu kama wangu huyu kwa maana nimetoa stress kama zako.
  4. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau wa JF

    Unatukana sana unamiaka mingapi ??? Dada hebu kua acha hasira unahasira unamatusi mazito nenda kaonekane Hii ni zamu yangu eti eh?? Bado sijaonekana
  5. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau wa JF

    Mbona mapovu hivi??? Nini shida?? Ila mnapoint kwanini nisibadilishe id couse sijaolewa bado . 2. Muda anaopata kuandika hivi Hivi nyie ngoja niwe mmpole kabisaa umeonea humu nakuringiwa nakublockiwa utaacha kuwaringia kama walivyokuringia sema tu wewe mwenyewe. Tatizo sio wivu ni hamuamini...
  6. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau wa JF

    Asanteni kwa haya. 1. Mmenichagulia gauni zuri la maids . 2. Mmenipa support siku zote hizi kwa ushauri na mengine. 3. Nawatakieni amani na furaha. Leo ninafuraha nimepewa visa ya Finland katika Ubalozi wao. Tumepiga picha nyingi ila naogopa kuwapa. Passport nilipata sikunyigii. Tu tena zile...
  7. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gauni la harusi

    Asantee ndio naangalia sasa hivi
  8. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gauni la harusi

    Bangi zingine mbayab
  9. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gauni la harusi

    Yangu mtaliona nitwa onyesha ngoja nitume
  10. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gauni la harusi

    I can't wait ,soon i will be with someone forever kabisa wapendwa.
  11. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gauni la harusi

    Sijavimba sana huku juu ni chini. Na katumboo So langu ni lesi kwa juu chini kama hili la tano kwa chini so nimelipenda.
  12. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gauni la harusi

    Wadau wazima nipo online na chagua design za magauni ya harusi ni chagulieni kati ya haya lipi zuri
  13. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nuru imeniwakia

    Unamwambia nani nani hajui unajifanya kungwi hapa sio kitchen party.
  14. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nuru imeniwakia

    Nini unachotaka kuniambia isiwe mapenzii na mume ujue ananipa massage hot bath outings na mapenzi kwanini nimsaliti?
  15. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nuru imeniwakia

    Mi mke wamtu naogopa utanisamehe kabisaa
Back
Top Bottom