Recent content by HURUMA JOSEPH

  1. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Msajili wa Vyama vya siasa na INEC sisi wananchi hatutaki uchaguzi mteremko

    Ndugu hujui kuwa MHAKAMA Iimezuia kazi zote za CHADEMA? Hivi watu nyie huwa mkoje?
  2. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tusidanganyane, Tanzania hakuna Mtu yeyote anayeweza kuzuia Kufanyika kwa Uchaguzi mkuu

    Hakuna sheria inayomtaka msimamizi kufunga ofisi ili asipokee fomu za wagonbea wa upinzani
  3. H

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Idadi ya Wapigakura katika daftari la Wakazi haiakisi Takwimu ya Sensa hii ni dosari kubwa ya kubatisha uchaguzi

    .Kwa mujibu wa takwimu za Wizara hiyo takribani Watanzania 31,282,331 wamejiandikisha kupiga kura katika zoezi lililoanza Oktoba 11 mpaka Oktoba 20,2024. Kwa kulinganisha na takwimu za Sensa ilizofanyika mwaka 2022 ambapo zilionesha watu wenye umri wa miaka kumi na sita na kuendelea walikua...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Muda umefika wajumbe wa nyumba kumi wapatikane kwa kushindanisha vyama vyote kama ilivyo kwa viongozi wa mtaa, Kijiji na kitongoji

    Du! Elimu ya uraia ngumu sana kwa baadhi ya watu. Toka 1 Julai 1992 hatuna mabalozi kiserikali
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Tigo someni hapa kuna ujumbe wenu

    Uwii watu wanajadili bila hata kuisoma kesi! Hakuna Mahali Milcom wanabisha kuvujisha tracking ya TL. Wao walichokuwa wanabisha ni kuwa "hiyo haikuwa sababu ya sisi kukufukuza, tulikufukuza kwa redundancy" hapo ndio pa kuanzia
  6. H

    JamiiForums Tanzania Uongo mwingine wa Spika Ndugai kuhusu Yesu kwenda Yerusalemu

    Mheshimiwa pamoja na ile barua ya kuomba radhi Watanzania bado kafanya kosa juu ya kosa. Yusufu (na mkewe) alikwenda mji wa Daudi unaoitwa Bethlehemu na si Yerusalemu. Hili ndilo jambo ambalo watu wengi hawajaligundua. Tusome: Luka 2 : 4-5 4 Yusufu naye aliondoka Galilaya, toka mji wa...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Mizengo Kayanza Peter Pinda: Huyu ni Waziri Mkuu wa kumi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Alichukua wadhifa huo akiipokea kutoka kwa Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa aliyejiuzulu. Aliteuliwa tarehe 7 Februari, 2008 na kuthibitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 9...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Je, Bunge la Muungano litakuwa halali bila kuwepo wabunge wanaotokana na Baraza la wawakilishi?

    Bahati mbaya hujajibu swali langu. Je, BUNGE litakuwa kamili? kama ndiyo, basi ndiyo kusema hakuna mantiki yoyote ya baraza la wawakilishi kuwalilishwa katika Bunge la muungano kama ilivyokuwa imekusudiwa kikatiba. Naona mnajadili kijuujuu sana.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Je, Bunge la Muungano litakuwa halali bila kuwepo wabunge wanaotokana na Baraza la wawakilishi?

    Ndugu Nguno soma katiba uelewe. Kuna wajumbe 5 wanaochaguliwa na baraza la wawakilishi miongoni mwao kuwa wabunge katika bunge la Muungano. Mimi ni mstaarabu wengine wangeshakuambia wewe ni division 5 au graduate wa shule ya kata na majina mengi.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Je, Bunge la Muungano litakuwa halali bila kuwepo wabunge wanaotokana na Baraza la wawakilishi?

    Asante: labda niulize swali katika namna nyingine. lets say kundi la wabunge wanawake halipo bungeni au makundi yote yapo isipikuwa lile la wabunge wakuchaguliwa majimboni halipo/halijachaguliwa kwa sababu moja au nyingine. je, bunge litakuwa complete? swala hapa sio qorum.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Je, Bunge la Muungano litakuwa halali bila kuwepo wabunge wanaotokana na Baraza la wawakilishi?

    Bunge la Tanzania lina makundi 6 ya wabunge (Rejea Ibara ya 66 ya Katiba). Kuna wabunge watano wanaochaguliwa na baraza la wawakilishi miongoni mwao kuwa wabunge katika bunge la muungano. Je, Bunge linaweza kuwa kamili bila kuwepo category mojawapo ya wabunge?
  12. H

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo alipojikwaa Mheshimiwa James Francis Mbatia (Mb)

    Ufafanuzi kwa mwalimu mstaarabu Mongi wa St. Jude. Mbatia anahoja kama ulivyosema na ndivyo nilivyo sema katika makala yangu ( kama uliisoma kwa makini) kuwa utafiti na hoja zake si za kupuuzwa hata kidogo. Hoja yangu nikwamba tusije tukafukia shimo kwa kuchimba shimo jingine. Kwamba tusije...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo alipojikwaa Mheshimiwa James Francis Mbatia (Mb)

    Ufafanuzi Ujumbe ulioufikisha ni kudhihirisha upumbavu wako. Watu wanaona mwalimu mkuu huyu ni pimbi kushindwa kuelewa kwanini ramani moja maathalani, ikaonyesha GERMAN EAST AFRICA na nyingine TANGANYIKA na nyingine ikaandikwa JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA na baada ya muda fulani pakawa...
Back
Top Bottom