Recent content by hureila

  1. H

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    We acha kabisa tabia za Ku generalize watu,sema Mimi Niko kanda ya ziwa kura ntampa magufuri.sio kanda ya ziwa wasema.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Mwambie!aisemee nafsi take.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Yani kwa akili yakawaida ambayo mtu si mpaka apelekwe shule miaka 7,4,2au3.nani anaweza kosa fiesta ya bure na wakati kuipata kwa malipo haipungui msimbazi 2au3,hivyo basi tusidanganyane fuatilia maeneo ambayo MZEE wa push up alikofanya mikutano bila hao wasanii nyomi ilikuwaje?
  4. H

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa CCM Musoma Mjini kumtukana Lowassa

    Mwenyezi mungu,hapendi kejeli IPO siku atawalipa wanao mdhihaki kiumbe wake kuwa ni mgonjwa huku wakisahau kuugua ni qadar ya Allah.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Wako wapi wabunge washangiliaji wa Lowassa na wenyeviti watiifu kwake?

    Ahh kura yako moja,haiwez ikatoa maamuz subir tarehe yenyewe!
  6. H

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Lowassa jana: Alisimama au kukaa?

    Wewe unayeweza cmama hongera sana.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa ahaha kuhakikisha Julius Kalanga (CHADEMA) anapita bila kupingwa Monduli

    Mwenyez mungu ndiye muweza wa yote,wewe unaye sema MZEE wa pampers jiangalie vizuri hii ni dunia hujafa hujaumbika.
  8. H

    JamiiForums Tanzania GE2015 Operesheni Zinduka: Uamuzi Sahihi 2015

    Low as a kama maji,huja ya nywa, utayaoga.utayafulia,utapikia.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Uso kwa uso na mhe Rais

    Fuatilia kwenye website,au msubir jimbon umuulize itapendeza zaid.
Back
Top Bottom