Recent content by hunter2018

  1. hunter2018

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Pole sn kak*Mm ushahur wngu uwe unakula matunda yakutosha kak"Yn Mapapai mandiz yakuiva uwe unakula muda wte*tena km inawezekn asbh kabla haijala chochote pata papai lako hata zima"yn zoez hilo ulifanye kwamuda hata wmwez"au nazais kidogo*bs majjbu utayapata*tena km ukiwa nabahati yawezekn...
  2. hunter2018

    Msaada: Mwanangu anasumbuliwa na kizungu zungu sana nakichwa kuuma

    Mtoto wangu ana umri wa miaka 13 anasumbuliwa sn namaumivu yakichwa' nakujicikia hali yakizungu zungu mara kwa mara yn huwa aipiti hata wiki huwa linamtoke kwa hiyo muda mwingi sn huwa anateseka mpaka namuonea huruma sana mwanangu" na huyu mtoto mwakani Isnha'allah anaingia Std7 Sasa wasi wasi...
  3. hunter2018

    Mimi Demiss nimemaliza mwezi bila kusex maajabu!

    Ahaa haa"Aisee ww Demiss ni CHAMPION Sent using Jamii Forums mobile app
  4. hunter2018

    Mtoto wangu anadoa usoni chini ya jicho

    Mtoto wngu anadoa usoni chini yajicho"na ameshatumia dawa kadhaa zatyub navidoge lakini doa bado alijaisha wala kupungua'nalinazidi kukua kidogo kidogo' kwahiyo kwa anayejua dawa yakulimaliza doa hili kwenye uso wamwanangu naomba msaada wake. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. hunter2018

    Msaada: Mtoto wangu ana doa usoni chini ya jicho

    Mtoto wngu anadoa usoni chini yajicho"na ameshatumia dawa kadhaa zatyub navidoge lkn doa bado alijaisha wala kupungua'nalinazidi kukua kidogo kidogo'Kwahyo kwa anayejua dawa yakulimaliza doa hili kwenye uso wamwanangu..naomba msaada wke.. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. hunter2018

    Msaada: Mtoto wangu ana doa usoni chini ya jicho

    Mtoto wngu anadoa usoni chini yajicho"na ameshatumia dawa kadhaa zatyub navidoge lkn doa bado alijaisha wala kupungua'nalinazidi kukua kidogo kidogo'Kwahyo kwa anayejua dawa yakulimaliza doa hili kwenye uso wamwanangu..naomba msaada wke.. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. hunter2018

    Je Gadner Habash hawezi mfunga Jaydee??

    Binafs naona wala hakuna 7bu yamwamba kupoteza furah zke kwa eti kwajir yahuyo mdada"Nakm nikhs huo wmbo wandindi huo niwimbo tu km zilivyo nyimbo nyingne.Nahuyo mdada lazima tujue kuwa mziki ndio kaz yke"naktk huo wimbo mbn hakumtaja mtu jina..
  8. hunter2018

    Msaada: Nasumbuliwa na vidonda vya tumbo

    Nimeshaenda hospital'huwa wananipaga dawa nakunywa vnatulia km 1wk au 2wk hivi"arafu vinaanza kusumbua tena
  9. hunter2018

    Msaada: Nasumbuliwa na vidonda vya tumbo

    Nasumbuliwa navidonda vyatumbo takribani km miaka miwili sasa'kwahyo naomba km kunamwenye kuweza kunisaidia kwakunifahamisha dawa yakunisaidia ili hili tatizo langu liweze kupona nakuisha kabisa. MziziMkavu
Back
Top Bottom