Recent content by Hunter Mdambuzi

  1. Hunter Mdambuzi

    Tusimdanganye Rais kwa uzembe wa aina hii.

    Hii sanamu wamechukua sura ya Dokta Shika.
  2. Hunter Mdambuzi

    Mbona watu wengi wanapenda kuhama usiku tu?

    Pia wale wa masafa kidogo njiani wavaa nyeupe wengi wengi wanaweza kukuongezea gharama za uhamaji
  3. Hunter Mdambuzi

    Kwanini majina ya nchi nyingi pale Uarabuni yanaishia na STAN?

    Stan bakora atakuwa na maelezo yalionyooka
  4. Hunter Mdambuzi

    Wanaotafsiri filamu kutozwa faini ya milioni 20 mpaka 30

    Ni kwa mara nyingine teina (tititi tititiii) toka ndani ya mitaa ya yombo kwa limboa na kipata nyamwezi ni mimi dj mark mwendo wa kuku zabanga jogoo (tititi tititii) Nakuletea dubwana hili Yaani huyu ukimpelekea tu hii muvi lazima atengue kauli. Mdambuzi
  5. Hunter Mdambuzi

    Google wana ugonvi gani na Kiswahili

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Google inabidi wamuone jiwe haraka. Na nusu Na robo
  6. Hunter Mdambuzi

    Serikali ya awamu ya 5 yafadhili serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Leo rasmi nimeamua kufadhiri moyo wangu usukume damu. Sipendagi ujinga mimi Na nusu Na robo
  7. Hunter Mdambuzi

    Serikali imefadhili mradi wa ukarabati wa shule ya serikali ya Sekondari ya Pugu.

    Baba nae naona anataka kunifadhili nikasome nje ya nchi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. Hunter Mdambuzi

    Je, wajua kwamba maiti ya binadamu huwa haina kivuli?

    Samahani mkuu hivi upo Arusha sehemu gani nije nichukue mzigo maana inaonekana kali sana ya huko
  9. Hunter Mdambuzi

    Hivi ni kweli kuna binadamu yupo hivi!!? Ama kuna nguvu mbadala wanatumia!!?

    Anameza risasi!![emoji849][emoji849] Huu utani mwingine tuuache
  10. Hunter Mdambuzi

    Jinsi ya

    Bangi ikiruhusiwa rasmi tutashuhudia mengi zaidi ya haya
  11. Hunter Mdambuzi

    Tunaelekea wap?!

    Jina la nyimbo plz ili nihakiki
  12. Hunter Mdambuzi

    Uzi wa kuchati Kilugha

    Mnyao ni hano
Back
Top Bottom