Ni sawa kaka, Nashukuru pia.
sasa ndugu yangu, kabla ya hadithi za mababu kuwepo ni ipi ilikua hadithi ?
kabla ya mababu kutunga hadithi nani alikua babu zao ?
kabla hadithi ya kutunga na watu tu, nani alikua mtu kwa mfano wetu ?
Achana na Adamu na Hawa kabla ya Dark energy and Light...
Kwanza kabisa mungu Hana JANJA JANJA, MWENYE ENZI MUNGU YEYE YUPO, kwanza hongera sana maana upo katika hatua nzuri sana ya kwenda kuanza kuziiishi nakuni zake za ukweli kanuni za NAMBA yani upo sehemu sasa unaweza kuanza kuhesabiwa baraka zako, kitu ambacho kutoka sasa unatakiwa Kujifunza Ili...
UWEPO
MWENYE ENZI MUNGU akaiumba DUNIA. Hakika katika Dunia MWENYE ENZI MUNGU akawaweka VIUMBE wengi sana na akampa mamlaka makubwa ya UFAHAMU kiumbe Mmoja tu BINADAMU.
Binadamu wamepita wengi sana huko nyuma na leo hii UPO WEWE na ndo maana hukuwepo mwaka 500 upo SASA hivi 2023.
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.