Wazima wadau.
Nimepigiwa simu jana na rafiki yangu analalamika kuhusu mume wake, labda kwa pamoja twaweza kumpa ushauri.
Mumewe alisimamia harusi jumamosi iliyopita ya rafiki yake, alikuwa kama maid, kulikuwa na maids wa kike pia. baada ya harusi katika pekenyua pekenyua yake ( si unajua...