Recent content by hujui_sijui

  1. H

    GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Hujui.....Amakweli mizigo ipo mingi.....Sijui......sogea tukae wote!
  2. H

    Askofu Benson Bagonza: Penye jina CHADEMA weka CCM

    Hujui......Wakitaka tuwapende lazima wafanye kama zamani, ndipo tutakapowakubali kuwa nao ni ma Askofu kama hao wengine wanaotupigia chapuo!.....Sijui.....Kuanzia sasa ujue, tunatangazia dunia hivi; Askofu yeyote akiwa upande wetu, huyo siyo adui yetu maslani! ONA SASA PENDEZAAA EEHEEE!
  3. H

    GE2020 TCAA yawajibu CHADEMA, yasikitishwa na upotoshaji wao

    Hujui....Ninani mpuuzi hadi sasa?......Sijui.....Kifo 2015 na sheria ilianza 2017! Kama mmeshindwa kwenda na sheria hivyo; je? Mkipewa nchi! ONA SASA.
  4. H

    GE2020 Maajabu ya Gwajima: Waumini wananyeshewa mvua, yeye anaahidi kujenga barabara kwa pesa zake mwenyewe

    Hujui......Nyani haoni kundule!.....Sijui....Kweli makanisa kama haya niyakufungwa tu!!
  5. H

    GE2020 Maajabu ya Gwajima: Waumini wananyeshewa mvua, yeye anaahidi kujenga barabara kwa pesa zake mwenyewe

    Hujui.....Hebu nipashe!.....Sijui.....Kwa huyu Yesu kawekwa sebuleni!! Masikini ushabiki kilema.
  6. H

    CCM Mbeya mjini waijibu CHADEMA

    Hujui.....Kwani nani mwanachama wa chama chochote?......Sijui.....Usione aibu ona sasa, pendeza eheee!!
  7. H

    Tutavikumbuka Vyombo vya Habari Tanzania na baadhi ya Viongozi wa Dini kwa kuliaibisha Taifa 2020

    Hujui.....Wakiwa upande wetu, hao siyo kinyume chetu!.......Sijui.....Hata kwa macho huoni?
  8. H

    Tuseme ukweli: Huwezi kuwa na Uhuru kama wewe ni mtegemezi. Watanzania sasa tuko Huru zaidi kwani sasa tunajitegemea

    Hujui...... Nimeamini kweli wewe ni Dr. mwenye akili!.......Sijui......Dozi kidogo tu unawaacha wapiga domo wasiojaa kiganjani humu jf wakipoteana!!! Kongole.
  9. H

    GE2020 Charles Kimei unatuaibisha wana Vunjo

    Hujui.......Sasa Kimei na huyu mgombea urais, nani mwenye hadhi ya juu?......Sijui.....Kweli imebidi niwakumbuke wahenga.' Kunya anye kuku, akinya bata.......' ONA SASA!
  10. H

    GE2020 Lissu muulize mpinzani wako, ‘Jina lako ni nani?’

    Hujui...... Unashangaa nini hata kama ni picha za 2015, lakini si Chadema hiyohiyo.......Sijui.....Kwani tukijifariji ni dhambi?
  11. H

    Msimamo: Napinga TBC kurusha Live Mkutano wa uzinduzi wa kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA

    Hujui.....Aliyewaloga baadhi ya waTZ hajazaliwa!.......Sijui.......Mmh! TBC wanatafuta umaarufu siyo!! Binadamu msiyokuwa na soni, sasa hata hiyo Katiba mpya na Tume huru mnazodai nazo si mzitafute nyumba kwa nyumba? Maana msije kutumika kama ngazi......!!!
  12. H

    GE2020 Je, Gwajima anaandaliwa kuchukua nafasi ya Mch. Getrude Rwakatare (RIP mama)?

    Hujui......Hapo Kawe hatuchagui malaika ndugu!!....Sijui......Kama ni kweli myasemayo, mbona alipokuwa hapo...., upuuzi huo hatukusikia? Mungu mwenyewe anapingwa na watu hata wengine hudiliki kupinga uumbaji wake! Pamoja na yote hayo Mungu hakuacha kuonyesha upendo wake ndiyo maana; jua, mvua...
  13. H

    Je, wakati umefika wa Misikiti kugeuzwa Sunday-school na Gwajima?

    Hujui.....Huyu naye si mchungaji?.....Sijui.....Kanisa lake lilikuwaje alipokuwa mjengoni?
  14. H

    Je, wakati umefika wa Misikiti kugeuzwa Sunday-school na Gwajima?

    Hujui......Wakati huu alikuwa siyo mDini banaa!!...Sijui.......Nyani haoni kundule; ona sasa!!
Back
Top Bottom