Recent content by Huja

  1. Huja

    JamiiForums Tanzania Rubani mwenza amemchoma kisu rubani mkuu ili aweze kudondosha ndege makusudi

    Bado naliona hili tukio kama DRAMA kupelekea ELECTIONS.... Ni ngumu ingawa inawezekana...immediately atokee abiria mwenye uwezo na ku rescue.... Vipi aliingia na kisu... Lakini pia pilot cabin huwa inafungwa kuzuia abiria on and out
  2. Huja

    JamiiForums Tanzania BASATA yamfungia Harmonize kufanya Muziki, Nandy atozwa Faini

    BASATA yenyewe ni sehemu ya TATIZO..... what's small file in comparison to the moral impacts
  3. Huja

    JamiiForums Tanzania Simba Sc ni Gari limewaka au ni moto wa makaratasi🤔

    MAEMA akiwaka ...simba inawaka
  4. Huja

    JamiiForums Tanzania Simba Sc ni Gari limewaka au ni moto wa makaratasi🤔

    Kuna mtu anaitwa MAEMA. .. yupo katika FORM.. Ndipo unaona simba ya GUEYYE, OURA , KALETSO ..tofauti na KAGOMA alivyokuwa more defensive midfielder
  5. Huja

    JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex

    More improvement toka SIMBA... WAMECHEZA KIKUBWA...WAMECHEZA KIUFUNDI...
  6. Huja

    JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

    Kwa nini team nzima imeshamshangilia. ABRAHAM
  7. Huja

    JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

    Before 1st leg...kocha wa MUGHTY aliongea shit kuhusu simba...kuwa hawatishi
  8. Huja

    JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

    Hii ndio TASTE kwa DOUMBIA kama ilikuwa ni choice ya CHAMPIIONS LEAGUE
  9. Huja

    JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

    Siku MAEMA akiwa Ktk FORM... Team inatembea
  10. Huja

    JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

    Itawafunga SOMALI, DJIBUT 5 , 6 ... Lakini simba ndiye anaweza kuwafunga watu wengine 6 ... Leo anakufa mtu 6
  11. Huja

    JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

    Hii ndio inaitwa RETURNS OF SIMBA.... hapa ndipo na- mmiss MANARA
  12. Huja

    JamiiForums Tanzania Hersi anahusika kutengeneza wahuni kwenye soka

    Soka limevamiwa na UHUNI mwingi... tukidhani ndio maendeleo..
  13. Huja

    JamiiForums Tanzania Eneo alilopigwa kocha wa Gabarone mashabiki au viongozi hawarusiwi kuwepo

    Kama vyombo vya usalama vipo SERIOUS... Huyu mtu atafutwe na hatua kali zichukuliwe for public interest....kabla ya mamlaka za nje..... Hili ni doa kwa Taifa...( Hatuna uhuni huu, hata mech za Deby hatufiki huko)... TZ Tunaandaa AFCON
  14. Huja

    JamiiForums Tanzania FT: Mighty Wanderers 0-1 Simba SC | CAFCL-1st Leg | Wakali wa Kimataifa wafanya kweli | 06.09.2026

    Team kubwa halafu unasajili striker eti kafunga magolii 8 ya kichwa. Kati ya 17: ...wakati miguuni hakuna kitu... scouting ya nani ....?
Back
Top Bottom