james mbatia mwenyekiti mwenza wa ukawa alishajitoa kwenye kinyang,anyiro cha urais kupitia ukawa kwa dhamira yake ya kutaka kugombea ubunge wa jimbo la vunjo.
kwa katiba yetu ya sasa waziri mkuu inampasa awe mbunge hivyo ni dhahiri kua Mbatia kawaachia Mbowe, Prof Safari, Prof Lipumba...
hana tofauti na idd amini sasa wachina walivyokua na matusi hawakumtambua kama dr. kwa hata kuandika jina lake na dr.kikwete xaxa wamempa u prof wa kusafiri.
umeandika vizuri lakini mwanzo umeanza na matusi, siasa inahitaji uvumilivu na displine....itabidi uangalie maneno unayoyatumia next time.
labda uniambie ruzuku kwa vyama vya siasa inatolewaje na kipindi gani?
Kwanza nianze kwa kukanusha la hasha hakuna aliyenituma.
nimekaa nikafikiria kwa kipindi kirefu kua vyama vya upinzani vinategemea ruzuku kama chanzo kikubwa cha mapato na kuna siku nilimsikia kiongozi mmoja mkubwa akisema hata cha kikiangukia nafasi ya pili kinakipa chama nafasi ya kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.