MwanaDiwan anatumika vibaya.
MwanaDiwani, Chabruma Paul Makonda ni sumu kwa afya ya demokrasia Tanzania
Last edited by a moderator:
MwanaDiwan anatumika vibaya.
Nchi nyingi tu zinaongozwa na coalition governments (serikali zinazoundwa na muungano wa vyama kadhaa vya siasa). Kenya tu ni mfanno mzuri. Ilibidi vyama vya upinzani viungano kuiondoa KANU madarakani; chama ambacho kilikuwa kinaiongoza nchi hiyo tangu uhuru. Chance za kucollapse kwa coalition hizo ni ndogo sana!Sasa ikitokea wakakorofishana huko mbele hali itakuwaje?
Jambo zuri nimkwamba tunazidi kupata kundi la waigizaji wengi,tulikuwa na comedi baadaye tukapata futuhi na sasa ukawa safi sana tunasonga mbele.
Kwani wewe ni kijana?Vipi mzee,
kaa kwenye vijiwe vya kahawa na wazee wenzako haya mambo ya vijana huyawezi waambie bavicha waje tujadiliane siyo wazee kama wewe ushachoka.
Sasa ikitokea wakakorofishana huko mbele hali itakuwaje?
Sheria inasema hivi kwanza kabla hata ya kuzungumzia msimamo binafsi wa huyu jaji maana hawa watu saa zingine akili zao anajua bwana godi mwenyewe jaji gani anaetoa matamko bila ya kujua sheria zinasemaje nchi za wenzetu customer assistant anajua sheria ya shop floor na haki za mteja sasa kama tuna majaji wanaojitolea kauli tutafika kweli.Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), Jaji Damian Lubuva amesema mpango wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wa kusimamisha mgombea mmoja katika Uchaguzi Mkuu mwakani ni halali kisheria.
"Wanaposema katika wilaya fulani wanasimamisha mgombea wa chama fulani hawaundi chama, ni kwamba pale wanaachia chama fulani, wanakiunga mkono kwa hivyo hapo sheria inaruhusu kabisa," alisema Jaji Lubuva na kuongeza:
"Nadhani huo ndiyo ukweli wao siyo lazima waende wakaandikishe chama. Wanasema chama X kule Iringa tunamsimamisha fulani na wengine wanamuunga mkono, hilo si tatizo."
Utasemaje sheria aijavunjwa wakati UKAWA ina operate as a single party bila ya kuwa registered bado wanachukua marupurupu kitofauti tofauti. Kuungana kwa sababu ya kushinda single agenda si tatizo kwenye siasa lakini kunapokuwa na muungano ambao ni strategic surely hiko ni chama cha siasa. Hata Labour Party nyingi duniani si taasisi moja bali ni umbrella to many labour unions ndio zinafanya labour party.THE POLITICAL PARTIES ACT
4(3) The Registrar shall be responsible for the registration of political parties in accordance with the provisions of this Act and shall perform any other function conferred by this Act.
7. ---(1) Subject to subsection
(2) of this section, every political party formed in any part of the United Republic, shall apply to the Registrar the prescribed manner to be registered as a political party.
(3) No organization shall operate or function as a political party unless it has first been registered in accordance with the provisions of this Act.
Haya mambo yako wazi kisheria na nje ya sheria kisiasa avi make sense UKAWA waungane kwanza ndio wafanye wanayotaka vinginevyo ni usanii tuu wakutaka kuongeza viongozi kwa kuhofia challenge za wao kwao kwa madhumuni ya ruzuku lakini si ki-sera au kutaka kutusaidia sisi walalahoi huku madongo poromoko.THE POLITICAL PARTIES (REGISTRATION) REGULATIONS, 1992
7(2) Where a registered party amends any of the provisions of its constitution or any of its rules it shall, within fourteen days, send notice thereof to the Registrar.
(4) A notice of any change in any of the provisions of the constitution or rules of a party shall, within fourteen days, be made in duplicate in Form PP.11 set out in the First Schedule.
Sasa ikitokea wakakorofishana huko mbele hali itakuwaje?
Hivi ngazi za uongozi ni URAIS tu?wanacheza mbwa kachoookaaa mgombea wa ccm ndiye rais na wanafahamu hili basi tu wanachechetuuukaaa
Nimefedheheka sana kwa kauli ya mtu niliyekua namuheshimu kwa kiasi fulani japo kidogo kama huyo anayejiita Rais Mtendaji wa APPT-Maendeleo.
I'm very disappointed !
Msomi mzuri kama huyu anapojipendekeza na kupotosha kiasi cha kuchimbia taaluma na weledi wake mchangani si jambo la kheri kwake na wala chama chake.
Hivi 1995 tulipomuunga mkono mgombea wa NCCR-Mageuzi au 2000 tulipowaunga Mkono CUF tulivunja chama chetu?
Na ni nani alimwambia UKAWA ni chama cha Siasa?
Tukifanya ushirikiano tutakua tumevunja sheria ipi?
Nonesense ! ! !
Sheria inasema hivi kwanza kabla hata ya kuzungumzia msimamo binafsi wa huyu jaji maana hawa watu saa zingine akili zao anajua bwana godi mwenyewe jaji gani anaetoa matamko bila ya kujua sheria zinasemaje nchi za wenzetu customer assistant anajua sheria ya shop floor na haki za mteja sasa kama tuna majaji wanaojitolea kauli tutafika kweli.
Utasemaje sheria aijavunjwa wakati UKAWA ina operate as a single party bila ya kuwa registered bado wanachukua marupurupu kitofauti tofauti. Kuungana kwa sababu ya kushinda single agenda si tatizo kwenye siasa lakini kunapokuwa na muungano ambao ni strategic surely hiko ni chama cha siasa. Hata Labour Party nyingi duniani si taasisi moja bali ni umbrella to many labour unions ndio zinafanya labour party.
Mwelekeo wa UKAWA and its practices ni chama cha siasa without official acknowledgement ni wakati sasa waulizwe hili la kuweka mgombea mmoja mmoja linawezekana vipi bila ya kuwa na sera ya pamoja na ilani ya pamoja? on what basis compromised were reached?
Supposed umoja wa UKAWA umeshinda kiti cha uraisi, na kwakuwa wameingia ubia wa uchaguzi pengine wamepata wabunge wengi kuweza kupitisha sera zao kwanini tusitake kujua ilani yao maana huko mbele wasije wakawaimiza wafuasi wao kutandikana kisa wao wenyewe kwa wenyewe kutoelewana mapema kimsimamo. Na kama wanamsimamo kwanini wasiseme kuwa wamekuwa chama kimoja.
Hizi sheria zipo kwa sababu wajameni hili mambo yafanyike kwa utaratibu unaoeleweka; ndio maana atuendelei au tunafanya mambo shaghala baghala kwa sababu ya kudharau matwaka ya sheria. Sasa kama wanasiasa ndio wafanya checks hawazieshimu sheria wanazotunga tutegemee hawa kweli kuweza kusimamia public conduct with discipline unaweza kuona ni kwanini tunalelea ufisadi au bad practices.
Haya mambo yako wazi kisheria na nje ya sheria kisiasa avi make sense UKAWA waungane kwanza ndio wafanye wanayotaka vinginevyo ni usanii tuu wakutaka kuongeza viongozi kwa kuhofia challenge za wao kwao kwa madhumuni ya ruzuku lakini si ki-sera au kutaka kutusaidia sisi walalahoi huku madongo poromoko.
umesoma hapa ukaelewa?
"Wanaposema katika wilaya fulani wanasimamisha mgombea wa chama fulani hawaundi chama, ni kwamba pale wanaachia chama fulani, wanakiunga mkono kwa hivyo hapo sheria inaruhusu kabisa," alisema Jaji Lubuva na kuongeza:
THE POLITICAL PARTIES (REGISTRATION) REGULATIONS, 1992
7(2) Where a registered party amends any of the provisions of its constitution or any of its rules it shall, within fourteen days, send notice thereof to the Registrar.
(4) A notice of any change in any of the provisions of the constitution or rules of a party shall, within fourteen days, be made in duplicate in Form PP.11 set out in the First Schedule.
Soma na wewe hapo uelewe
Katiba zao sasa ziweke wazi tutazuia wanachama wetu kugombea majimbo fulani kwa sababu ya marafiki zetu.
na waseme wazi kuwa mlengo wao auna dira maalum kwa watanzania hili kutowasumbua watu kufungua matawi huko.
Au wewe unadhani ni nini hasa mantiki ya katiba ya chama au nini maana ya kuwa na wafuasi mahala halafu unaawambia atutagombea huko tutawaachia wenzetu wenye mlengo tofauti?
Woga tu wa zimwi usilolijua kutoka vyama visivyojua wanafanya nini au hata kama hayo mabadiliko wanayoyasema wanajua yanakuja vipi?Kwani tatizo liko wapi?