Haha upya wa kibongo sio ule upya wa kizungu yani yana condition nzuri yana ac na gia ni laini na sio machakavu ndo namaanisha hvo maana driving xkul nyingine gari unaenda jifunzia mpka unaliogopa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hesabu kwa siku au kwa wiki kwa bajaji inakuaje maana kuna jamaa kasema 140K ukipiga mahesabu mwaka unaisha na hela ya bajaji haijarudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Me nataka kuanzisha biashara ya kuuza electronics na vifaa vya computer na simu na vingine kama cables na nini nauliza ntapata wapi kwa bei ya jumla na bei poa nataka kufungua hyo biashara Dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro kuna wabongo wanajua technlojia hyo kulko unavodhani na wapo wengi tu we jidanganye tu na siku hizi tools za kuspy unannua tu kwa ma hackers proffesional so hata serikali inaeza nnua tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jipe moyo tu kijana kuna wachina kibao mafundi wa cyber wapo wanashirkiana na serikali sasa wew sema hawaezi wafatilia na ISP wote wa tz wapo monitered na TCRA na siku hizi kuna proffesional hackers wapo ulaya wanauza tech za kuspy watu kwa serikali za kiafrika mfano ni serikali ya Ethiopia...
Akitoka hapo naye akapimwe mkojo na huko kuumwa huko nna mashaka nako sio kwa kawaida lazma wamemfanya kitu......ndo nchi yetu ya sasa ukiongea kidogo kesho central then unapimwa mkojo then unabinywa vya kutosha then life inaendelea unakaa kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona wamemkamata wakampime mkojo labda.....ila jamaa wanampa kiki tu ingekua kweli hawamtaki wangeenda wakamteka tu fasta wakampa adabu au kumpga tu risasi afe na hakuna ambaye angeuliza na ambaye angeuliza naye angetekwa tu
Hapa ni mwendo kama wa NORTH KOREA
Sent using Jamii Forums mobile app
Me naona kupunguza hilo tatzo la nyeto ni kutoa elimu ya madhara yake na jinsi ya kukabiliana nayo na pia watu wawahi kuanza wakiwa na umri mdogo ili wanapokua wanabalehe wawe wamefika mbali kielimu na sio secondary mfano mtu akiamalza form four akiwa na miaka 14 or 15 hii itasaidia kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.